Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?

Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.

Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa
na sisi yanga tunasajili 3 na msuva yumo

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Unajua mashabiki wengine wa Yanga mpaka leo hawajui kuwa keshokutwa wana kipaimara kwasababu ya kibegi?
Hatuna hata habari na kibeg,tuko busy kujua ni lilepo makabi au lamine jarjou,msuva hatuna wasi maana ndio atakua wa mwisho kutangazwa 🀣
 
Hakunaga mtu anaeitwa Idd Nado Chilunda.

Yupo Idd Suleiman "Nado" na Idd Shaaban Chilunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…