Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

Ila hii sababu ya kuachana na Kipa Mbrazil mmetupanga. Lugha!!?
 
Huyu alishasahau na mpira kabisa

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Jana kulikuwa na tetesi kuwa anaenda South kwa Kaizer Chiefs ila manager wake amepinga kuwa hakuna mawasiliano yoyote yaliyofanyika kati ya Kaizer Chiefs na yeye
Hivi mshaona Kaizer Chiefs ni ya kusajili wale walioshindwa kucheza mpira?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Huyo Shaban Idd Chilunda, umri wake umesimama, au!! Tangu aanze kucheza mpira, havuki tu miaka 20+!!!!
 
Naomba wasifu wake kidogo
Alianzia Tarime United akatoka akaenda Tarime Warriors

Akatoka akaenda Stand United na baadaye akaenda Kenya kwenye timu ya Muhoroni ila alikuwa kwenye timu ya vijana.

Baada ya muda alipandishwa kwenda timu ya wakubwa.
 
Hawa waliosajiliwa na mikia wasije na mabegi makubwa,makolo tunawajua huu ni utaratibu wao wa kila mwaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…