Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Mambo gani?umeamini ule ujinga ambao hata kichaa hawezi kukubali? mbumbumbu ni mbumbumbu20+ tangu mwaka gani?
Maana nyie Yanga maswala ya kuhesabu tunajua yanawapiga sana chenga na ndio maana Zakazakazi alikuja kuweka sawa baadhi ya mambo
1.Nusuchuma Nusumtu.2.Kifaru cha kinyarwanda(Gere boy) 3.Mkude😂😂😂Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini?
Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping.
Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa.
**********
Update
16:30
Simba imekamikisha usajili wa mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda (25) raia wa TanzaniaView attachment 2694406
Update
19:00
Simba imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Abdallah Hamis.
Awali alikuwa kwenye Club ya Muhoroni nchini Kenya.
Ni mtanzania mzaliwa wa Tarime huu ni usajili mbadala wa Mkude baada ya kuondoka Simba.View attachment 2694512
HahahahahahaaHuu usajili wa haya magarasa sijui kama nafasi ya tatu itapatikana
Bado mmoja
Vyuma wabongo unapigwa kitu kl unapoenda hakuna anaeona uyafanyayo unaonekana kiazi tu...anabahati hatakuwepo simbaSpain alikua anacheza first eleven, akaenda Morocco, akarudi Azam bado mambo magumu ngoja tuone na wish arudi kwenye form mimi ni fan wake
Back up ya wizara ya ulinzi pale kati,safi sana maeneo yote kwenye taifa kubwa la Simba yapo salama💪💪
Simba imeajiri mtu wa scouting akuna mbamba wote wanaosajiliwa ni Tanzanite mali tupu.Hawa watu ni wazuri au Kwa sababu wamecheza nje?l
yanga huwa wanapenda kujipa matumaini hewa.Msuva alishaweka wazi kuwa hana malengo ya kucheza bongo
Louis Jose MiquissoineBado mmoja
Aiseeee