Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

Mukishinda mnasahau matatizo yenu ukiongea ukweli unaonekana sio shabiki ama hujui mpra ,mimi kila siku nasema simba sana sana viongozi wahuni sana wangekua na weledi na nia nzuri ya vitendo sio maneno mechi ambayo ulikua kipimo na ilionyesha udhaifu na mapungufu yao ni ile ya waliyofungqa nne south africa ,wangeitumia ile mechi kwa ufundi saiz wana timu yenye nafuu ,tatizo hawa viongozi wetu ni watu wa maneno sana na wabahili ktk usajili mbaya zaid wakishinda mechi fulan fulan basi wanasahau yote ,mtu ata kama hauna taaluma ya ukocha unajua kabisa simba ina matatzo kila idira kuanzia dilisha kubwa lililipita mpaka ili dogo la juzi unajiulza ina maana wamekosa wachezaji ,, wasiangalie mechi wanazopata matokeo mechi zile mbaya ndio ziwape funzo ktk kusajili ,yani timu ina shida ya beki kiungo ama fowadi ata winga unaenda sokoni unaleta mchezaji mechi nne au tatu anaonekana hafai kuliko waliokuwepo ukimfunga namungo unashangilia ukikukata na waliowekeza ktk mpra unaishia kumiliki mpra unafungwa ,mwsho wanarudia maneno yale yale tutaboresha timu usajili ukifka wanaleta wale wale , bahati nzur siku iz nimeacha kuumia ktk mpra baada ya man u kuona hawana nia na timu yao yani mm naumia wenzangu ktk usajili hawaelewek nikapoteza mapenz na simba na yao ivyo ivyo ivyo hawana mipango mizuri kujenga timu
 
Kwahiyo ulitaka apaki basi na sio kutafuta point tatu? Kocha hana cha kulaumiwa wacjeza wazee unategemea wakupe nn?

Kocha naye tatizo, tusitetee uovu. Huyo ndio shida namba moja. Hana mbinu yeyote. Mbona timu hii imefika robo fainali mwaka Jana shirikisho Tena ikatoka kwa penalti. Shida ni huyo mzungu wenu.
 
Nunueni wachezaji

Hili ndilo la msingi. Unapenda kuokoteza sawadogo hajacheza mechi karibia msimu mzima na baleke aliyepo bench. Unategemea Nini. Ngoja tufungwe mechi zote tujue tupo daraja gani, maana Viongozi wetu hawajui Cha kufanya.
 

Halafu wanachama wakamchagua unategemea Nini?. Simba kwa Sasa inaendeshwa bila mipango, inaendeshwa kijanja.
 

Umeongea kila kitu kilichopo mawazoni pangu,tukubali ukweli hatuna team ,kwa upande wangu natamani tumalize kundi wa mwisho ili akili ziwaingie viongozi,pale kuna kulindana hasa hao wazee wazawa,magarasa yamejaa mengi sana ,wachezaji wa kimataifa na viwango duni mnooo inasikitisha basi tu
 
Simba mlicheza na vijana wa raja Casablanca mpya,
Nyie kikosi kimejaa wazee kusem kweli John bocco kilometa zimeenda Sana kiwango kimeshuka hafai kuwa standing striker tegemezi, backline onyango pia hawafai, yule mkongo anahitaji msaada yaan Simba inahitaj usajil wa nguvu
 
Lile pira Dubai limekwenda wapi?! Au walikunda kutafuta Malaya Dubai!! Vijana wa thiimbaa!! Vp? Pumzi imekata mapemaaaa!! Onyangoo limi lote nje. NIMEUMIA SAANA!!
 
Simba kuanzia leo itumie kikosi hiki kimataifa.

1. Manula
2. Kapombe
3. Shabalala
4. Kennedi
5. Onyango
6. Inonga
7. Phili
8. Kannute
9. Beleke
10. Chama
11. Okra.

Wengine waanzie Sub.

Nimeweka mabeki wote ili kuimariasha ukuta.
Inonga abaki namba 6 ili timu ikishambulia anapanda, ikishambuliwa anarudi kukaba.
 
Na wewe usiwe mtu wa ovyo. Elewa sisi sote ni wanasimba , na tunataka matokeo
 
Usajili wa nguvu. PESA HIYO ipo?? Au washagawana madividendi wanahisa
 
Hapa kwenye suala la Usajili washabiki tumeingozwa choo Cha kike. Eti mara ooh! Tumejipanga kisawasawa kuwakabili wapinzani wetu. KUMBE hata ykifuatilia kambini mazoezi utafikiri wanacheza kombolela
 
Ni zamu ya viongozi kusemwa udhaifu wao. Hata vunjabei anaulalamikia sana uongozi wa simba kwa kuchelewa kutoa approaval ya kit design au sponsor matokeo yake jezi zinachelewa na lawama zote zinaenda kwa vunja bei.

Uongozi wa simba una shida kubwa yaani wanatufanya mashabiki kama malofa yasiyojitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…