Mukishinda mnasahau matatizo yenu ukiongea ukweli unaonekana sio shabiki ama hujui mpra ,mimi kila siku nasema simba sana sana viongozi wahuni sana wangekua na weledi na nia nzuri ya vitendo sio maneno mechi ambayo ulikua kipimo na ilionyesha udhaifu na mapungufu yao ni ile ya waliyofungqa nne south africa ,wangeitumia ile mechi kwa ufundi saiz wana timu yenye nafuu ,tatizo hawa viongozi wetu ni watu wa maneno sana na wabahili ktk usajili mbaya zaid wakishinda mechi fulan fulan basi wanasahau yote ,mtu ata kama hauna taaluma ya ukocha unajua kabisa simba ina matatzo kila idira kuanzia dilisha kubwa lililipita mpaka ili dogo la juzi unajiulza ina maana wamekosa wachezaji ,, wasiangalie mechi wanazopata matokeo mechi zile mbaya ndio ziwape funzo ktk kusajili ,yani timu ina shida ya beki kiungo ama fowadi ata winga unaenda sokoni unaleta mchezaji mechi nne au tatu anaonekana hafai kuliko waliokuwepo ukimfunga namungo unashangilia ukikukata na waliowekeza ktk mpra unaishia kumiliki mpra unafungwa ,mwsho wanarudia maneno yale yale tutaboresha timu usajili ukifka wanaleta wale wale , bahati nzur siku iz nimeacha kuumia ktk mpra baada ya man u kuona hawana nia na timu yao yani mm naumia wenzangu ktk usajili hawaelewek nikapoteza mapenz na simba na yao ivyo ivyo ivyo hawana mipango mizuri kujenga timu