Simba kufungwa na Raja tumestahili, tujipange msimu ujao

Lile pira Dubai limekwenda wapi?! Au walikunda kutafuta Malaya Dubai!! Vijana wa thiimbaa!! Vp? Pumzi imekata mapemaaaa!! Onyangoo limi lote nje. NIMEUMIA SAANA!!
Umeumia wapi fala wewe [emoji1787]
 
saidoo ni mchezaji gani huyo?
 
Tukubali kujiandaa wale raja hata turudiane nao mara 3 tunaliwa tu wale wametuzidi daraja
 
Raja hii hata uchanganye simba na YANGA goli tatu ziko palepale. Ni wao tu kuamua dakika ya ngapi wafunge.
 
Naunga mkono hoja mwanamsimbazi mwenzangu
 
Quality mbovu, huyo Baleke hata TP Mazembe hawamtaki na sasa hivi anawekwa benchi na Boko! Sewadogo kasajiliwa kwa vigezo gani? Tumeambiwa msimu mzima hajacheza kwa majeruhi.

Sakho nae kama Morrison tu, game anazokupa quality ni chache. Hiyo timu hata kama kocha wetu angekuwa huyo wa Raja hatutoboi.

Simba tuna misimu 3 hatununui wachezaji wa maana. Toka tulivyootea akina Kagere, Fraga, Chama na Miquison tumekuwa tunaokota wachezaji. MO hatoi pesa za usajili!

Sasa fukuzeni kocha muacheni Mgunda na timu maana ndio pressure ya mashabiki! Ila huyo Mgunda atapigwa hadi game za ligi ndio mjue shida sio makocha! Kila siku tunafukuza makocha tu!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Mda wa kujua ukweli kuhusu hii overrated team umefika.
 
Usajilinunahitaji pesa na Kanji mgumu.Manzoki milioni 150 imeku ngumu kumsajili je'timu zetu hizi zitaweza kusajili mchezaji hata kwa milioni 500!
 
Hata Vunjabei akileta jezi atapata hasara ambayo hajawahi ipata labda akaloge Simba ivuke makundi
Vunja akileta jersy ndege itakayozileta itakuja kinyume nyume kutoka China kuunga mkono basi la jana lililobeba wachezaji.
 

Toa Kagere na Miquison hao ni skaut ya Uto sema walikuwa kwenye enzi za bakuli wakazidiwa kete
 
Siyo kila tatizo kwenye timu linatatuliwa kwa usajili ni watu wenye ufahamu hafifu wa mpira tu ndiyo wanaamini kuwa kila tatizo la timu lazima litatuliwe kwa usajili.

Simba Jana wamefungwa kwa kuzidiwa mbinu tu, mbinu za mwalimu za wachezaji kukimbia hovyo hovyo uwanjani huku eneo la ulinzi wanaliacha wazi kwa kiasi kile timu yoyote lazima ikufunge tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…