Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saidoo ni mchezaji gani huyo?Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa.
Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku ukweli wanaujua, mpira ni uwekezaji.
Ni hivi, Simba imewekeza sana kwenye propaganda. Msemaji wa timu anaropoka ropoka tuu kufurahisha genge huku akijua wazi kuwa mpira hauchezwi mdomoni wala kwa slogan.
Ni hivi, viongozi wanatufanya mashabiki wa simba ni mazuzu. Wanaona kwa kuwa watu wanaujaza uwanja basi wao wanafikiri watu ni watumwa wa mpira na hawana shuguli nyingine ya kufanya. Tunaweza tusiwe tunaenda uwanjani kwa kususia kwani simba haileti ugali majumbani kwetu.
Ni hivi, imenyesha tumejua panapo vuja. Tuna wachezaji magalasa kibao ambao hawakutakiwa kuwa simba leo ila wanalindwa kwa kutumia neno uzawa, bloodfckn.
Ni hivi, hii dhana ya kujiona wakubwa kisa tulimfunga ahly ni ya kitoto na ya kuachana nayo. Angalia quality tuliyonayo sasa hivi utaifunga timu gani inayojielewa? Hao utopolo tu ambao tunarogana kila siku hatuwawezi sembuse wanaowekeza mijipesa yao kwenye mpira?
Kiukweli natamani tusipate point hata moja kwenye mashindano haya labda viongozi akili zitawaamka. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada viongozi nao waachane na kutoa motisha kwa wachezaji kwani ile ni kazi yao.
Kiufupi msimu ujao wachezaji wanaostahili kubaki simba ni baleke, inonga, saodoo, phiri na chama bhaaasiii. Wengine wote timua. Ni bora timu ikasukwa upya kuliko kujidanganya eti sisi ni wakubwa.
Bado ni Simba mkuu....haya mambo hayana mwenyewe...alilouwa German akalouwaaa France uje kushangaa Simba?
Naunga mkono hoja mwanamsimbazi mwenzanguKiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa.
Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku ukweli wanaujua, mpira ni uwekezaji.
Ni hivi, Simba imewekeza sana kwenye propaganda. Msemaji wa timu anaropoka ropoka tuu kufurahisha genge huku akijua wazi kuwa mpira hauchezwi mdomoni wala kwa slogan.
Ni hivi, viongozi wanatufanya mashabiki wa simba ni mazuzu. Wanaona kwa kuwa watu wanaujaza uwanja basi wao wanafikiri watu ni watumwa wa mpira na hawana shuguli nyingine ya kufanya. Tunaweza tusiwe tunaenda uwanjani kwa kususia kwani simba haileti ugali majumbani kwetu.
Ni hivi, imenyesha tumejua panapo vuja. Tuna wachezaji magalasa kibao ambao hawakutakiwa kuwa simba leo ila wanalindwa kwa kutumia neno uzawa, bloodfckn.
Ni hivi, hii dhana ya kujiona wakubwa kisa tulimfunga ahly ni ya kitoto na ya kuachana nayo. Angalia quality tuliyonayo sasa hivi utaifunga timu gani inayojielewa? Hao utopolo tu ambao tunarogana kila siku hatuwawezi sembuse wanaowekeza mijipesa yao kwenye mpira?
Kiukweli natamani tusipate point hata moja kwenye mashindano haya labda viongozi akili zitawaamka. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada viongozi nao waachane na kutoa motisha kwa wachezaji kwani ile ni kazi yao.
Kiufupi msimu ujao wachezaji wanaostahili kubaki simba ni baleke, inonga, saodoo, phiri na chama bhaaasiii. Wengine wote timua. Ni bora timu ikasukwa upya kuliko kujidanganya eti sisi ni wakubwa.
Mda wa kujua ukweli kuhusu hii overrated team umefika.Quality mbovu, huyo Baleke hata TP Mazembe hawamtaki na sasa hivi anawekwa benchi na Boko! Sewadogo kasajiliwa kwa vigezo gani? Tumeambiwa msimu mzima hajacheza kwa majeruhi.
Sakho nae kama Morrison tu, game anazokupa quality ni chache. Hiyo timu hata kama kocha wetu angekuwa huyo wa Raja hatutoboi.
Simba tuna misimu 3 hatununui wachezaji wa maana. Toka tulivyootea akina Kagere, Fraga, Chama na Miquison tumekuwa tunaokota wachezaji. MO hatoi pesa za usajili!
Sasa fukuzeni kocha muacheni Mgunda na timu maana ndio pressure ya mashabiki! Ila huyo Mgunda atapigwa hadi game za ligi ndio mjue shida sio makocha! Kila siku tunafukuza makocha tu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji2960]Eti onyango ana 25yrs sjui n kweli?
[emoji87]Wote Wana 23 kama onyango tu
Hii club inauwawa na hao wanahisa, yaan labda atokee tajiri jeur wa kuinunua timu kwa %100, km yule wa manutd haya mambo hayatakwepoUsajili wa nguvu. PESA HIYO ipo?? Au washagawana madividendi wanahisa
Hasira za mkizi hizi [emoji1]Niwakumbushe tu kesho kuna mechi ya Yanga dhidi ya Mazembe kwaiyo ropokeni tu weeh msiizingatie game yenu.
Basi tuwekeze kwenye kukuza vipaji timu b, nako pia shida viongozi wa timu wanaaaza kugawana percent na wachezaji magalasaUsajilinunahitaji pesa na Kanji mgumu.Manzoki milioni 150 imeku ngumu kumsajili je'timu zetu hizi zitaweza kusajili mchezaji hata kwa milioni 500!
Vunja akileta jersy ndege itakayozileta itakuja kinyume nyume kutoka China kuunga mkono basi la jana lililobeba wachezaji.Hata Vunjabei akileta jezi atapata hasara ambayo hajawahi ipata labda akaloge Simba ivuke makundi
Quality mbovu, huyo Baleke hata TP Mazembe hawamtaki na sasa hivi anawekwa benchi na Boko! Sewadogo kasajiliwa kwa vigezo gani? Tumeambiwa msimu mzima hajacheza kwa majeruhi.
Sakho nae kama Morrison tu, game anazokupa quality ni chache. Hiyo timu hata kama kocha wetu angekuwa huyo wa Raja hatutoboi.
Simba tuna misimu 3 hatununui wachezaji wa maana. Toka tulivyootea akina Kagere, Fraga, Chama na Miquison tumekuwa tunaokota wachezaji. MO hatoi pesa za usajili!
Sasa fukuzeni kocha muacheni Mgunda na timu maana ndio pressure ya mashabiki! Ila huyo Mgunda atapigwa hadi game za ligi ndio mjue shida sio makocha! Kila siku tunafukuza makocha tu!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Yanga wana skauti mzuri mara nyingiToa Kagere na Miquison hao ni skaut ya Uto sema walikuwa kwenye enzi za bakuli wakazidiwa kete
Siyo kila tatizo kwenye timu linatatuliwa kwa usajili ni watu wenye ufahamu hafifu wa mpira tu ndiyo wanaamini kuwa kila tatizo la timu lazima litatuliwe kwa usajili.Kiuhalisia simba hatuna timu ya kushindana kwenye ligi wala kwenye mashindano ya kimataifa. Timu iko flop.
Lazima tukubali mpira wa sasa hauchezwi kwa historia eti kwa mkapa hatoki mtu huu ni uzwazwa.
Ni hivi, Simba imekuwa ikisajiri kwa ujanja ujanja, ni kama viongozi hawapo serious huku ukweli wanaujua, mpira ni uwekezaji.
Ni hivi, Simba imewekeza sana kwenye propaganda. Msemaji wa timu anaropoka ropoka tuu kufurahisha genge huku akijua wazi kuwa mpira hauchezwi mdomoni wala kwa slogan.
Ni hivi, viongozi wanatufanya mashabiki wa simba ni mazuzu. Wanaona kwa kuwa watu wanaujaza uwanja basi wao wanafikiri watu ni watumwa wa mpira na hawana shuguli nyingine ya kufanya. Tunaweza tusiwe tunaenda uwanjani kwa kususia kwani simba haileti ugali majumbani kwetu.
Ni hivi, imenyesha tumejua panapo vuja. Tuna wachezaji magalasa kibao ambao hawakutakiwa kuwa simba leo ila wanalindwa kwa kutumia neno uzawa, bloodfckn.
Ni hivi, hii dhana ya kujiona wakubwa kisa tulimfunga ahly ni ya kitoto na ya kuachana nayo. Angalia quality tuliyonayo sasa hivi utaifunga timu gani inayojielewa? Hao utopolo tu ambao tunarogana kila siku hatuwawezi sembuse wanaowekeza mijipesa yao kwenye mpira?
Kiukweli natamani tusipate point hata moja kwenye mashindano haya labda viongozi akili zitawaamka. Ng'ombe hanenepi siku ya mnada viongozi nao waachane na kutoa motisha kwa wachezaji kwani ile ni kazi yao.
Kiufupi msimu ujao wachezaji wanaostahili kubaki simba ni baleke, inonga, saodoo, phiri na chama bhaaasiii. Wengine wote timua. Ni bora timu ikasukwa upya kuliko kujidanganya eti sisi ni wakubwa.
SureNdio football mzee sio kila siku utashinda wewe tu..