Simba kwa uwekezaji ule ni ya kukosa basi?

Niliwai kusema hapa ya kuwa hii mikataba ambayo hivi vilabu vinaingia na wanatutangazia uhalisia wake utaonekana muda sio mrefu na kinachotokea simba ndio uhalisia wenyewe wamekuwa na mambo mengi ya ujanja ujanja kuwadanganya wanachama wao juu ya mikataba wanayoingia kwa kuongeza sifuri kwenye ile mikataba lakini kiuhalisia ni uongo,, auwezi kuwa na akili timamu eti timu ina mikataba kama mbet b.26, matangazo ya mhindi wa bombay yamejaa kwenye jezi, na bado timu inapokonywa bus kwa kushindwa kumalizia malipo, na bado wachezaji wanalia njaa bonus zao imekuwa dana dana, na bado usajili wa wachezaji wanaangaliwa free agent au wachezaji wa milion 20 ndio wasajiliwe,,Uwekezaji gani wa ajabu ajabu namna hiyo? Bado zile b.20 za mwekezaji azijulikani ziliwekwa benk gani na zinafanya nini, maana zingekuwepo tusingekuwa tunaona aya yanayoendelea kwenye klabu,,Timu kubwa imebaki inakodi costal kuwapeleka mazoezini haina tofauti na maji maji ya songea,,Timu kubwa inakuwa haina kocha wa makipa, haina kocha mkuu wanakwenda kumuazima mgunda aje kupiga deiwaka? Kwakweli kuna vituko vinapatikana Tanzania pekee
Kaunzia board mpaka mtendaji mkuu wote wababaishaji, hawa sio waaminifu hata kidogo wanawadanganya wanachama na wapenzi wa club kwa kujiamini kabisa, yale matangazo ya nn kimewekezwa na nani kawekeza, mikataba mbalimbali kumbe yote changa la macho eti leo timu ikiwa na huyuhuyu mtendaji mkuu Barbara wamenyang'anywa basi, hivi ni kipi Leo Simba wamenunua wajivunie utumbafu tu.

Ifike sehemu serikali iwe inaingilia kati haya mamikataba wakipumbavu na watendaji wasiotekeleza majukumu Yao wachukuliwe hatua.
 
Mara nyingi hua ni mapenzi ila wengine wana motives zao nyuma mfano za kisiasa ila hawapati faida, hata timu kama chelsea ukitoa mfadhili inaterereka sana, timu hata ikibalance mahesabu yake yote ela ya usajili lazima itoke kwa mfadhili
Bodi ya wakurugenzi ndiyo inapitisha bajeti ya usajiri, mfano Arsenal kuna kipindi Bodi ilitoa pesa nyingi za usajili lakini kocha akatumia pesa ndogo sana zingine zikabaki kwasababu babu wenga alikuwa hapendi kununua wachezaji wa bei kubwa, tofauti na Man city na Chelsea wao kocha akiitaji mchezaji tu Bodi kazi yake ni kuhakikisha mchezaji ana patikana.
 
Mara nyingi hua ni mapenzi ila wengine wana motives zao nyuma mfano za kisiasa ila hawapati faida, hata timu kama chelsea ukitoa mfadhili inaterereka sana, timu hata ikibalance mahesabu yake yote ela ya usajili lazima itoke kwa mfadhili
Labda kama huwajui vizuri akina Kanjibai, waulize wanaofanya kazi kwenye makampuni yao wakuthibitishie vyema jinsi gani Kanjibai ni wachungu sana kwenye pesa zao, utaelewa hawawezipoteza muda pasipo na faida.

Mfanyakazi ukipendeza tu hata kwa nguo za mitumba (classic materials) anakufukuza kazi kuwa umemuibia mali zake, sembuse huyo Mwekezaji atapanye tu pesa zake bure kwenye klabu ya Simba bila faida [emoji848]

Alishinikizwa na nani kuwekeza kwenye klabu ya Simba [emoji848][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaunzia board mpaka mtendaji mkuu wote wababaishaji, hawa sio waaminifu hata kidogo wanawadanganya wanachama na wapenzi wa club kwa kujiamini kabisa, yale matangazo ya nn kimewekezwa na nani kawekeza, mikataba mbalimbali kumbe yote changa la macho eti leo timu ikiwa na huyuhuyu mtendaji mkuu Barbara wamenyang'anywa basi, hivi ni kipi Leo Simba wamenunua wajivunie utumbafu tu.

Ifike sehemu serikali iwe inaingilia kati haya mamikataba wakipumbavu na watendaji wasiotekeleza majukumu Yao wachukuliwe hatua.
Serikali ndio wameharibu wametunga sheria wameshinda kusimamia kwanini waliruhusu mwekezaji mmoja badala ya watatu kama sheria inavyoelekeza
 
Kingine kinachowatafuna hawa wazee wa kukodisha makocha ni katiba yao, Katiba yao ni ya ovyo ovyo sana ndio maana mhindi anaitumia iyo kuwapiga ipasavyo, Wangekubali kujifunza kwenye katiba ya yanga kipengele kwa kipengele mengine aya yasingewakuta, Wangekuwa na wawekezaji zaidi ya mmoja au wasiozidi watatu wala wasingekuwa wanampigia magoti uyo mhindi na kumlamba miguu ata akikosea, Yanga waliliona hilo na wakaliweka kwenye katiba yao wawekezaji lazima wawe zaidi ya mmoja wasizidi watatu,,sasa mhindi alihonga honga pesa kwa wanachama aliokuwa anaona wana nguvu kwenye klabu ili mchakato uende haraka haraka na vitu vingine visihojiwe hili afanikishe malengo yake matokeo yake ndio aya wanaanza kushikana uchawi, nasikia mhindi wa bombay anataka kuuza hisa kusepa lakini kuna mgawanyiko kwenye wajumbe wa bodi wengine wanahoji anauza hisa gani ambazo pesa awaijui ilipo? Wanataka awaonyeshe hizo pesa alizonunulia hisa ndio mambo mengine yaendelee, Kwa maana iyo kuna shida kubwa pale mikiani kama wajumbe wenyewe wa bodi awajui b.20 tuliyoambiwa imewekwa na wao wako gizani vipi kwa mwanachama uyu wa kawaida anayepuyanga mpaka mate yanamtoka kutetea upuuzi?
 
Bonus kwa wachezaji ni kosa kubwa kwa Simba
 
Niliwai kusema hapa ya kuwa hii mikataba ambayo hivi vilabu vinaingia na wanatutangazia uhalisia wake utaonekana muda sio mrefu na kinachotokea simba ndio uhalisia wenyewe wamekuwa na mambo mengi ya ujanja ujanja kuwadanganya wanachama wao juu ya mikataba wanayoingia kwa kuongeza sifuri kwenye ile mikataba lakini kiuhalisia ni uongo,, auwezi kuwa na akili timamu eti timu ina mikataba kama mbet b.26, matangazo ya mhindi wa bombay yamejaa kwenye jezi, na bado timu inapokonywa bus kwa kushindwa kumalizia malipo, na bado wachezaji wanalia njaa bonus zao imekuwa dana dana, na bado usajili wa wachezaji wanaangaliwa free agent au wachezaji wa milion 20 ndio wasajiliwe,,Uwekezaji gani wa ajabu ajabu namna hiyo? Bado zile b.20 za mwekezaji azijulikani ziliwekwa benk gani na zinafanya nini, maana zingekuwepo tusingekuwa tunaona aya yanayoendelea kwenye klabu,,Timu kubwa imebaki inakodi costal kuwapeleka mazoezini haina tofauti na maji maji ya songea,,Timu kubwa inakuwa haina kocha wa makipa, haina kocha mkuu wanakwenda kumuazima mgunda aje kupiga deiwaka? Kwakweli kuna vituko vinapatikana Tanzania pekee
usiizalilishe Maji Maji ya Songea kwani wao hawana coaster,rosa sijui tata wala bus kwa sababu hawataki vya kuazima. Jana nipo Tanga limepita bus naona kabisa lipo kiunyamaunyama kwa mbaalii na lina abiria nikajua tu hapo bas bus limeporwa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Niliwai kusema hapa ya kuwa hii mikataba ambayo hivi vilabu vinaingia na wanatutangazia uhalisia wake utaonekana muda sio mrefu na kinachotokea simba ndio uhalisia wenyewe wamekuwa na mambo mengi ya ujanja ujanja kuwadanganya wanachama wao juu ya mikataba wanayoingia kwa kuongeza sifuri kwenye ile mikataba lakini kiuhalisia ni uongo,, auwezi kuwa na akili timamu eti timu ina mikataba kama mbet b.26, matangazo ya mhindi wa bombay yamejaa kwenye jezi, na bado timu inapokonywa bus kwa kushindwa kumalizia malipo, na bado wachezaji wanalia njaa bonus zao imekuwa dana dana, na bado usajili wa wachezaji wanaangaliwa free agent au wachezaji wa milion 20 ndio wasajiliwe,,Uwekezaji gani wa ajabu ajabu namna hiyo? Bado zile b.20 za mwekezaji azijulikani ziliwekwa benk gani na zinafanya nini, maana zingekuwepo tusingekuwa tunaona aya yanayoendelea kwenye klabu,,Timu kubwa imebaki inakodi costal kuwapeleka mazoezini haina tofauti na maji maji ya songea,,Timu kubwa inakuwa haina kocha wa makipa, haina kocha mkuu wanakwenda kumuazima mgunda aje kupiga deiwaka? Kwakweli kuna vituko vinapatikana Tanzania pekee
Yanayomkuta simba hata yanga yatamkuta pia ni suala la muda tu..
 
Mara nyingi hua ni mapenzi ila wengine wana motives zao nyuma mfano za kisiasa ila hawapati faida, hata timu kama chelsea ukitoa mfadhili inaterereka sana, timu hata ikibalance mahesabu yake yote ela ya usajili lazima itoke kwa mfadhili
FFP unaijua????
 
Tutajie vitu vikubwa tuvijadili.
Hiyo ndio tabu ya kula unga wa sembe.
Kama kwa umri wako unasubiri kutajiwa mambo muhimu, basi ni heri utangulie mbele ya haki familia yako itue mzigo
 
Labda kama huwajui vizuri akina Kanjibai, waulize wanaofanya kazi kwenye makampuni yao wakuthibitishie vyema jinsi gani Kanjibai ni wachungu sana kwenye pesa zao, utaelewa hawawezipoteza muda pasipo na faida.

Mfanyakazi ukipendeza tu hata kwa nguo za mitumba (classic materials) anakufukuza kazi kuwa umemuibia mali zake, sembuse huyo Mwekezaji atapanye tu pesa zake bure kwenye klabu ya Simba bila faida [emoji848]

Alishinikizwa na nani kuwekeza kwenye klabu ya Simba [emoji848][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app

thats not the case, METL imeanza kudhamini simba mda mrefu sana, huenda hukubahatika ila kuna kipindi jezi za simba zilikua zina METL kama mdhamini mkuu, ni rahisi sana kuongea kwa sababu sisi ni mashabiki ila hakuna timu imebalance mahesabu yake, hata timu zote za uingereza lazima ziyumbe mdhamini anapoondoka ilihali wana mapato mengi sana na mashabiki wanajaa mechi zote! biashara ya mpira sio rahisi kama mnavodhan
 
Back
Top Bottom