Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

Simba haiwachukulii mashabik wake km wateja bali km familia na ndio maana wameweka kiingilio kidogo ili kila mmoja amudu kuingia wajumuike pamoja kwenye tamasha
Mpira ni biashara acha uongo dunia zima mpira ni biashara
 
Yanga walifungulia mbwa na uwanja haukujaa.
Usidanganywe na hiyo elfu 10.
Zilinunuliwa tiketi za bure nyingi na bado watu wahakuja uwanjani.
 
Kuna Singapore Big Stars, Ihefu, Azam na Namungo, hizi timu ni balaa jipya mjini! Mpira upo!
Marefa wasipopewa bahasha Yanga na Simba hawatoboi!
Ngoja tuone msimu huu!
 
Simba haishindani na Yanga kaka,nildio maana Yanga akipokea wapimzani simba halipizi hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…