Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

Umbumbumbu wenu utaonekana iyo trh 11, Kama kocha wenu atakuwa na akili Kama zako tutashuudia viti vikivunjwa kwa Mara nyingine pale kwa mkapa
Sasa si utopolo mkishinda ndio furaha kwako? Sasa wewe unaishauri Simba tena?
 
Hatuhitaji maoni ya wachawi. Tukaushieni nyie subirini mbeleko tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ushauri makini sana huu.
 
Una akili Sana sio wale waliopo kwenye msafara wa mamba maana wao kazi yao ni bora liende nafikiri umeona comment zao maono yao ndo yashafika mwisho apo wanaona timu yao iko safi kabisa
 
Pole! Umepigwa na kitu kizito! Kunywa maji, relax 😁😁😁
 
Sisi tunaangalia namna ya kuvuka Group Stage, manyani yanaangalia namna ya kushinda tarehe 11
Wakati mzungu nawaza namna gani ataenda paradiso, mwafrika anawaza ni namna gani atazamia kwenda chicago

Huo ndo utofauti kati ya simba na yanga ulipo

Nabi naye hakauki pale kwa mkapa yani kila mechi ya simba anaingia kwa lengo la kusoma mbinu na kuangalia weakness ya simba ili aitumie vizuri hiyo tarehe 11
 
Nyinyi tunawa fahamu hamjawahi kuwa na dua nzuri kwa simba
 
Sawa. Tumekusikia, tutajitahidi kurekebisha mapungufu yaliyojitokeza
 
huo ushauri wape timu yako ya utopolo ambao hamko kimataifa mlipigwa nje ndani
 
Aisee nimefuatilia maandishi yako hapo juu ila niliposoma hili umenishtua sana,kifupi wewe ni mpiga kelele period!
Kutoa sare sio ishu unaangalia timu imechezaje mpaka itoe sare, ebu nieleze mapungufu ya yanga kwenye ile mechi ya namungo nione Kama kweli wewe unaujua mpira
 
Hatusumbuliwi na maneno ya machangudoa. Mumeumia mliyotaka hayakuwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
kuna majamaa ya utopolo walishangilia vibaya red arrows walipofunga magoli mawili,Simba walipofunga moja yalitoroka hawakuendelea na mpira ,sikujua kuna watu huwa wanaumia kiasi kile kwa mechi ambayo si yao
 
Goli la pili ilikuwa free header, pascal Wawa hakuruka hata kidogo ingawa alikuwa karibu na mfungaji. Kuna uwezekano Wawa kiwango kimeshuka au kachoka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…