Simba mmefanikiwa kusonga mbele lakini rekebisheni mapungufu yenu haraka kabla amjakutwa na aibu mbele ya safari

Umbumbumbu wenu utaonekana iyo trh 11, Kama kocha wenu atakuwa na akili Kama zako tutashuudia viti vikivunjwa kwa Mara nyingine pale kwa mkapa
Sasa si utopolo mkishinda ndio furaha kwako? Sasa wewe unaishauri Simba tena?
 
Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo, endapo red arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine, tatizo lililowaangusha red arrows ni ubutu wa safu yao ya ushambuliaji na beki zao za kati haziko makini pamoja na uzoefu pia imekuwa tatizo kwao, kwa upande wa simba shida kubwa ipo kwenye safu ya ulinzi wanakabia macho na mipira ya krosi imekuwa donda ndugu kwao, pia kiungo cha Jonas mkude na kanuti kumekuwepo na shimo katikati yao kutokana na mkude kuwa taratibu Sana akipiga square pass nyingi na kanuti anacheza mpira wa taratibu Sana, watu hao 2 wakikutana na timu ambayo inacheza mpira wa kasi watalaumiwa bure, Simba rekebisheni makosa yenu mapema vinginevyo msije mkaanza kuwananga wachezaji kuwa wamewahujumu timu yenu bado Sana kiufundi na kibaya zaidi yamekuwa ni mapungufu ya kujirudia rudia ina maana kocha ajaona icho kitu au anasubili aibu tarehe 11[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuhitaji maoni ya wachawi. Tukaushieni nyie subirini mbeleko tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli mechi ya Leo muda mwi give nilishika kichwa kwa simanzi kubwa kuiona Simba yangu inacheza mchezo wa hovyo bila mipango..huu mwaka tuko hovyo Sana
Binafsi naona shida namba 8 na 10..
Napendekeza Bwaliya acheze 8 na 10 tumrudisha chama haraka au aletwe na 10 mwingine wa maana..
Wawa pia amefika mwisho..
Ushauri makini sana huu.
 
Una akili Sana sio wale waliopo kwenye msafara wa mamba maana wao kazi yao ni bora liende nafikiri umeona comment zao maono yao ndo yashafika mwisho apo wanaona timu yao iko safi kabisa
 
Pole! Umepigwa na kitu kizito! Kunywa maji, relax 😁😁😁
 
Sisi tunaangalia namna ya kuvuka Group Stage, manyani yanaangalia namna ya kushinda tarehe 11
Wakati mzungu nawaza namna gani ataenda paradiso, mwafrika anawaza ni namna gani atazamia kwenda chicago

Huo ndo utofauti kati ya simba na yanga ulipo

Nabi naye hakauki pale kwa mkapa yani kila mechi ya simba anaingia kwa lengo la kusoma mbinu na kuangalia weakness ya simba ili aitumie vizuri hiyo tarehe 11
 
Mashabiki wa ovyo ovyo Kama wewe atuwezi kujadiliana nao masuala ya mpira, we unafikiri utakuwa unakutana tu na timu Kama iyo siku zote, unaambiwa mrekebishe makosa yenu ambayo mmekuwa mkiyaonyesha kwenye mechi zote mlizocheza hivi karibuni wewe unapuyanga kwenye ushabiki mandazi tu, ujui ayo makosa ndo yalitaka kuwagharimu kwa Mara nyingine, Ongea masuala ya mpira kiufundi sio unakurupuka tu kuleta mipasho ambayo aitowasaidia chochote
Nyinyi tunawa fahamu hamjawahi kuwa na dua nzuri kwa simba
 
Mashabiki wa ovyo ovyo Kama wewe atuwezi kujadiliana nao masuala ya mpira, we unafikiri utakuwa unakutana tu na timu Kama iyo siku zote, unaambiwa mrekebishe makosa yenu ambayo mmekuwa mkiyaonyesha kwenye mechi zote mlizocheza hivi karibuni wewe unapuyanga kwenye ushabiki mandazi tu, ujui ayo makosa ndo yalitaka kuwagharimu kwa Mara nyingine, Ongea masuala ya mpira kiufundi sio unakurupuka tu kuleta mipasho ambayo aitowasaidia chochote
huo ushauri wape timu yako ya utopolo ambao hamko kimataifa mlipigwa nje ndani
 
Aisee nimefuatilia maandishi yako hapo juu ila niliposoma hili umenishtua sana,kifupi wewe ni mpiga kelele period!
Kutoa sare sio ishu unaangalia timu imechezaje mpaka itoe sare, ebu nieleze mapungufu ya yanga kwenye ile mechi ya namungo nione Kama kweli wewe unaujua mpira
 
Hatusumbuliwi na maneno ya machangudoa. Mumeumia mliyotaka hayakuwa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
kuna majamaa ya utopolo walishangilia vibaya red arrows walipofunga magoli mawili,Simba walipofunga moja yalitoroka hawakuendelea na mpira ,sikujua kuna watu huwa wanaumia kiasi kile kwa mechi ambayo si yao
 
Ni jambo la kushukuru kwamba simba imeingia hatua inayofuata kwa msaada wa matokeo ya nyumbani baada ya kupata magoli mengi, lakini pamoja na ayo simba hii inayo mapungufu kibao kuanzia safu ya ulinzi na kiungo, endapo red arrows wangeongeza ubora wao angalau kidogo sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine, tatizo lililowaangusha red arrows ni ubutu wa safu yao ya ushambuliaji na beki zao za kati haziko makini pamoja na uzoefu pia imekuwa tatizo kwao, kwa upande wa simba shida kubwa ipo kwenye safu ya ulinzi wanakabia macho na mipira ya krosi imekuwa donda ndugu kwao, pia kiungo cha Jonas mkude na kanuti kumekuwepo na shimo katikati yao kutokana na mkude kuwa taratibu Sana akipiga square pass nyingi na kanuti anacheza mpira wa taratibu Sana, watu hao 2 wakikutana na timu ambayo inacheza mpira wa kasi watalaumiwa bure, Simba rekebisheni makosa yenu mapema vinginevyo msije mkaanza kuwananga wachezaji kuwa wamewahujumu timu yenu bado Sana kiufundi na kibaya zaidi yamekuwa ni mapungufu ya kujirudia rudia ina maana kocha ajaona icho kitu au anasubili aibu tarehe 11[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Goli la pili ilikuwa free header, pascal Wawa hakuruka hata kidogo ingawa alikuwa karibu na mfungaji. Kuna uwezekano Wawa kiwango kimeshuka au kachoka sana.
 
Back
Top Bottom