ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ndo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi.
Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane
1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅 Bado weeks 2 tu.
Na kesi iliisha 2022
2 Na Eng Hersi Said akitoka ofsini atabaki kiongozi Gani? Yaani team itakuwa bila viongozi😅😆
Mahakama imeamuri uchaguzi itafanyika tarehe 15 August kama wanavodai katiba ifuatwe na bila shaka Eng Hersi Said atashinda Kwa kishindo Sasa mnaufurahia lipi
Hii ni danganya toto
Mbumbumbu mnadhani Yanga Kuna mgogoro kumbe ni mgogoro fake.
Sasa tarehe 8 njoo na hizo fikiria kuwa Yanga Kuna mgogoro tutawapiga kama ngoma