Simba mmekubali kuingia kwenye huu mtego, Yanga hakuna mgogoro

Jambo ni lenu alafu avuliwe simba shabiki wa simba? Nyie pambanane na mambo yenu sisi tunatizama tu mnavyo parurana
 
Huenda kukawa na ukweli kuhusu hili, maana hata Mzee Magoma mwenyewe ameanza kukana kuhusishwa na hiyo hukumu.
 
Yaani ushabik wa kitoto huu sasa kwa hio apo unaona una point za kutetea utumbo wako
Kweli nyie utopolo
 
kwahiyo Yanga mambo yao hayaendi bila kiki?? ili washinde mechi inabidi waivuruge Simba kisaikolojia na bila hivyo hawajiwezi?? sasa mbona hawaikuvuruga Mamelodi au USM Alger ili wachukue makombe makubwa?? hebu ongeza uwezo wako wa kufikiri acha hizi porojo wewe inakuingiaje akilini hayo uliyoandika??
 
Hiyo kesi iliamriwa mwaka 2022 Leo 2024 ndo mtarajie maajabu.
Saa 8 waandishi wa habari watajaa saa 8 na tutafanya zoezi la kutambulisha jezi
Jezi zitambulishwe tu, lakini habari kuu ni kwamba Mahakama haiwatambui hao watakaotambulisha jezi 🤣🤣🤣
 
Jezi zitambulishwe tu, lakini habari kuu ni kwamba Mahakama haiwatambui hao watakaotambulisha jezi 🤣🤣🤣
Unataka kuamini watu walijifungia wakaja na picha za Azizi na hamisa wakipigiana penati?
Hawa wanaweza kuwa wamejifungia wakaja na hili igizo.
 
Pole sana.
Kumbe na wewe uliamini?
Mbumbumbu
 
Kama ni Hivyo mahakama ndo imeingia kwenye mtego wa huyo Bwana Yako Eng: Hersi unayedhani ana akili Sana, na siyo Simba Kwa sababu hakuna mwana Simba yeyote aliyeenda kisutu kushataki juu ya uhalali wa BWANA Yako kuingia kinyemela hapo utopoloni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…