Acha hasiraKama ni Hivyo mahakama ndo imeingia kwenye mtego wa huyo Bwana Yako Eng: Hersi unayedhani ana akili Sana, na siyo Simba Kwa sababu hakuna mwana Simba yeyote aliyeenda kisutu kushataki juu ya uhalali wa BWANA Yako kuingia kinyemela hapo utopoloni!
Acha hasira
Kunywa maji mengi
Mbumbumbu.Sina hasira mie Mrs Hersi huenda Kwa kuamini BWANA Yako ni master na akili nying kiasi hicho Hadi kuwaamisha Simba kwenye Ajenda zao ndo maana ndoa yenu imedumu Hadi leo
Haya sasa tuonyeshe jezi zilizozinduliwa 🤣 🤣 🤣mnadhani Yanga Kuna mgogoro kumbe ni mgogoro fake.
Hivi unaelewa maana ya kukazia hukumu!!?Hiyo kesi iliamriwa mwaka 2022 Leo 2024 ndo mtarajie maajabu.
Saa 8 waandishi wa habari watajaa saa 8 na tutafanya zoezi la kutambulisha jezi
okPole sana.
Kumbe na wewe uliamini?
Mbumbumbu
nimegundua ni mtoto mdogo asiyejitambua utachosha vidole vyako bureHivi unaelewa maana ya kukazia hukumu!!?
Piga pull ulaleNdo maana ninamkubali Eng Hersi Said. Yaani kaona Usajili wa 5imba ni WA umakini, akaona watatusubua kidogo hatutawapiga magoli mengi.
Nawatahadharisha tarehe 8 sio mbali, Mtapigwa 8. Na itakuwa nane nane
1. Jiulizeni mahakama ilitoa hiyo jukumu zamani, kwanini iibuke Leo mechi ikiwa karibu😄😅 Bado weeks 2 tu.
Na kesi iliisha 2022
2 Na Eng Hersi Said akitoka ofsini atabaki kiongozi Gani? Yaani team itakuwa bila viongozi😅😆
Mahakama imeamuri uchaguzi itafanyika tarehe 15 August kama wanavodai katiba ifuatwe na bila shaka Eng Hersi Said atashinda Kwa kishindo Sasa mnaufurahia lipi
Hii ni danganya toto
Mbumbumbu mnadhani Yanga Kuna mgogoro kumbe ni mgogoro fake.
Sasa tarehe 8 njoo na hizo fikiria kuwa Yanga Kuna mgogoro tutawapiga kama ngoma
Kimsingi huyu Mzee anataka Yanga ifuate mfumo wa uongozi kama wa Simba na ana hoja nzito sana. Ni suala la muda tu kabla halijatekelezwa.
Save hii post. Hilo linaenda kufanyika. Mzee wenu alishinda kesi ila hakuwa na haraka ya kuwasilisha ushindi wake ili utekelezwe. Wahuni wamefukunyua wakaweka hadharani bila idhini yake.Sahau yaani Yanga ifate mfumo wa Mangungu