Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kwahiyo Mshery, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari, Lomalisa, Skudu (ahahahahaha) Skudu, Nzengeli, Morocco, Mzize Kibabage, Ngushi kwako wewe ni U20? Basi sawa. Na sie Bocco na Kapombe ni U17 kabisaaaaaa!!!!!Timu ya aina Gani iliyoingia robo fainali ikatolewa na wewe ulikuwa na timu ya aina Gani? Umeingia na full mkoko wenzako wameingia na U20 pamoja na watokea benchi unafananaje ubora na watokea benchi? Maana ulitakiwa uonyeshe ubora na utofauti wako na awa wengine uwanjani!