Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

Kwahiyo Mshery, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari, Lomalisa, Skudu (ahahahahaha) Skudu, Nzengeli, Morocco, Mzize Kibabage, Ngushi kwako wewe ni U20? Basi sawa. Na sie Bocco na Kapombe ni U17 kabisaaaaaa!!!!!
 
Hukuona aliposema watokea benchi?
Kibabage kacheza mechi moja tu
Max kacheza mechi moja tu dhidi ya KVZ na aliingia sub
Skudu, Zawadi, Moloko, Ngushi, Kibwana hao wanaingia kwenye kundi la wanaotekea benchi na wengine hata benchi yenyewe hawakai.

Diarra
Musonda
Yao
Aucho
Pacome
Aziz Ki
Mudathir
Job
Zengeli
Bacca

Hawa ndio walishiriki kwenye kipigo chako cha goli tano
 
Kwani timu yenu ilikuwa inatambulishwaje kwenye mashindano?
 
Kwahiyo Mshery, Zawadi Mauya, Kibwana Shomari, Lomalisa, Skudu (ahahahahaha) Skudu, Nzengeli, Morocco, Mzize Kibabage, Ngushi kwako wewe ni U20? Basi sawa. Na sie Bocco na Kapombe ni U17 kabisaaaaaa!!!!!
Wote hao ni kikosi Cha pili, U20 ni wachezaji 8 na wote walicheza
 
Yako wapi Sasa, Kama umekwenda na kikosi chako choooote na bado umeshindwa kumfunga mlandege na kubeba ata icho kikombe Cha kahawa uku kwenye ligi utaweza? Mbumbumbu wakiambiwa timu yao bado sana wanamwaga povu Kama lote, icho ndio kikosi wanachokitegemea kiwape mafanikio namhurumia sana benchikha cv yake amekuja kuiharibu badala ya kuilinda so sad!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…