Simba na ndoto zao za Robo Fainali Mwisho leo. SImba akishinda leo ole wangu, niadhibiwe vibaya sana

Jiunze kutunza maneno!!!
 
Ila mods hamtendi haki kabisa. Na mnawajibika kwa kila ujinga unaoandikwa hapa JF. Na kwa mwenendo huu mnaishusha thamani JF.
 
Tusome kama ilivyoandikwa.
"Na baada ya kumaliza kuwaumba mashabiki wa simba ndipo shetani aliiba udongo na kuwaumba mashabiki wanaojiita nyuma kuna mwiko"
 
Utopolo bhana!
 
pumbavu sana, ukome kutabiri utabiri wa kindezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…