Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshaanza kelele.... Subiri kesho muone watu tunavyopiga mtu kipigo kikali sasa. Achana na hao wachovuTafuteni huyu chizi majalala yote
Jiunze kutunza maneno!!!Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Leo umetabiri kinyume hata mechi ya kesho itakua kinyume cha uliyoandika hapa.Mshaanza kelele.... Subiri kesho muone watu tunavyopiga mtu kipigo kikali sasa. Achana na hao wachovu
Ndivyo kundi litakavyoishia
😳kwani alisema achomwe moto au afungiwe?#Moderator huyu mtoa mada mshampiga burn au bado??
Burn ndo nini?#Moderator huyu mtoa mada mshampiga burn au bado??
Daaah.... Mtani unanimwagia kunguni
Uto leo mnaenda kupata sareDaaah.... Mtani unanimwagia kunguni
Utopolo bhana!Yaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali
hawa SImba ni wachovu sana mpaka mwishowe tunawaonea huruma tu..... team haina kitu imejichokea haina pumzi haina mbinu .... utadhani Temeke Combine.
NIpo hapa Leo SImba akishinda nipigwe ban ya siku 3
Hakuna kitu kama hichoUto leo mnaenda kupata sare
Leo mnakeketwa mchana kweupeHakuna kitu kama hicho
Sababu ninyi tuliwakeketa?Leo mnakeketwa mchana kweupe
pumbavu sana, ukome kutabiri utabiri wa kindeziYaani mpaka sasa ubao unasoma Wydad 2 SImba 0..... na SImba wanajitahidi kupambana sana ili wapate hata Draw. Maalimu anasema hali ni Mbaya kwa Simba sababu majini yote kwa siku ya leo yanaonekana kuwa upande wa Wageni. SImba hapati kitu le ndo mwisho wake wa kuwa na ndoto za kuenda kucheza robo fainali