The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni.
Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu.
Leo yametokea upande wa pili na hawatafanywi kitu mamlaka zetu haziwezi kujiamulia bila maelekezo kutoka juu siyo mahakama au bunge ni shida tupu.
Jiulize
1. uwanja ni wa Taifa mabaunsa wa yanga wanahusika na nini hadi wazuie watu kuingia kwani hakuna uongozi pale.
2. Mechi imeahirishwa nani aliyewaruhusu yanga kuingia uwanjani? Yaani ni upuuzi puuzi tu ukishabikia hizi timu lazima akili ziende kushoto