Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni.

Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu.

Leo yametokea upande wa pili na hawatafanywi kitu mamlaka zetu haziwezi kujiamulia bila maelekezo kutoka juu siyo mahakama au bunge ni shida tupu.

Jiulize
1. uwanja ni wa Taifa mabaunsa wa yanga wanahusika na nini hadi wazuie watu kuingia kwani hakuna uongozi pale.

2. Mechi imeahirishwa nani aliyewaruhusu yanga kuingia uwanjani? Yaani ni upuuzi puuzi tu ukishabikia hizi timu lazima akili ziende kushoto

1741536995234.png
 
Wewe umeona mbali sana, hongera!
 
Klabu ya Young Africans inamilikiwa na wanachama 100%. Unapotumia neno mmiliki wa timu unakosea. GSM ni moja ya wadhamini kupitia bidhaa zake na klabu nyinginezo zilizoomba udhamini wake.ila pia ni Kit supplier wa Young Africans km ilivyo Sandaland pale simba ila pia anadhamini timu ya taifa
Mo miaka ya nyuma alihusika na udhamini na uwekezaji Simba ila pia alifhamini Majimaji na Coastal union kwa muda mmoja upo hapo?
 
Back
Top Bottom