Ndio hivyo ujue tu umeongea pumba... Ushabiki wa Mpira haujawahi kua kigezo cha watu kukosa ufanisi katika shughuli zao. Ukiona mtu anajadili mpira siku nzima ujue hana cha kufanya ila sio ameacha anachofanya ili ajadili mpira siku nzima.Wewe na nani...kwani nimeoa wangapi ?
Ufanisi lazima ushuke maana unajadili mpira kwa kutumia akili,na ufanisi unaletwa na akili iliyotulia sio inayowaza mpira 24/7....au ww unajadili mpira kwa kutumia makalio?Ndio hivyo ujue tu umeongea pumba... Ushabiki wa Mpira haujawahi kua kigezo cha watu kukosa ufanisi katika shughuli zao. Ukiona mtu anajadili mpira siku nzima ujue hana cha kufanya ila sio ameacha anachofanya ili ajadili mpira siku nzima.
Yeah sio makalio yangu tu ninayo tumia kujadili hata yako sometimes napita nayoUfanisi lazima ushuke maana unajadili mpira kwa kutumia akili,na ufanisi unaletwa na akili iliyotulia sio inayowaza mpira 24/7....au ww unajadili mpira kwa kutumia makalio?
Ndio maana nimekuhuliza huko Uganda kwa rafiki yako ambako hawatumii muda mwingi kujadili simba na yanga wana kipi cha ziada kuizidi Tz?Umesema vema kwamba mpira ni starehe hivi ni kwa nini hii starehe imekuwa na nguvu kiasi kwamba imeteka mijadala mingine yoote!? Vijana siku hizi wanaamka wanawaza mpira wanalala wanawaza mpira na kila wanapokutana wanazungumza mpira wakati kama nchi tuna changamoto lukuki ila hazipewi muda kujadiliwa!
Tayari athari za mpira ziko wazi kwenye akili yakoYeah sio makalio yangu tu ninayo tumia kujadili hata yako sometimes napita nayo
Kumbe you can argue pasi na kutumia lugha ya kudhalilishana.Tayari athari za mpira ziko wazi kwenye akili yako
Kwa hyo mashabik wote wanaojazana uwanjani huko ulaya ni wajinga sio?Kama unaishi maisha ya kijinga na ya ulevi wa kushabikia mpira kila siku lazima uambiwe kuwa unapotea,huwezi kujua kwa urahisi ila athari ni kubwa kiakili...ni kama nyeto tu
Athari yake ni ipi ukilinganisha na upenzi w kuvunja amri ya sita?Mapenzi mengine ni ujinga tu,mapenzi na mpira ni umbumbumbu na ulevi mbaya sana
Athari yake kubwa ni kupoteza focus kwenye mambo ya maendeleo yenye kuhitaji akili,kwa WASHABIKI athari ya mpira ni kubwa sana ila sio rahisi ukaigundua...shetani ameinvest sana kwenye mpira ili kumuondoa mtu kwenye reli.Athari yake ni ipi ukilinganisha na upenzi w kuvunja amri ya sita?
Wewe hujui kuwa wajinga duniani ni wengi kuliko werevu!?Kwa hyo mashabik wote wanaojazana uwanjani huko ulaya ni wajinga sio?
We una mchango gan kweny hii nchi hadi uanze kujitenga na kuanza kushambulia watu kisa hawatak kufuata utakacho...mind ur busness broo..ukifuata ya watu utachelewa kufanya yakoWewe hujui kuwa wajinga duniani ni wengi kuliko werevu!?
Ni wajinga tu maana genius huwezi kumkuta uwanjani,ata enzi za akina Isaac Newton mpira ulikuwepo lakini dunia isingewaenzi kwa ushabiki wa mpira bali utumiaji sahihi wa akili zao.
...kufuata utakacho kusikufanye kufuata ata ujinga,unapotea na ukipotea athari ni kwa familia yako na taifaWe una mchango gan kweny hii nchi hadi uanze kujitenga na kuanza kushambulia watu kisa hawatak kufuata utakacho...mind ur busness broo..ukifuata ya watu utachelewa kufanya yako
Huamini kuna watu wanashabikia mpira na bdo wanakuacha mbali sanaa kiuchumi na hata kielimu?...kufuata utakacho kusikufanye kufuata ata ujinga,unapotea na ukipotea athari ni kwa familia yako na taifa
Kwa wenye IQ ndogo ndo wanapoteza focus..na nahc hata ww upo kweny hili kundi....mpira ni kujifurahisha tu as long as hakuna sheria inayovunjwa pale unaposhabikia mpira mimi sion haja ya kuanza kupangiana ni stareh gan nifanye na ipi nisifanyeAthari yake kubwa ni kupoteza focus kwenye mambo ya maendeleo yenye kuhitaji akili,kwa WASHABIKI athari ya mpira ni kubwa sana ila sio rahisi ukaigundua...shetani ameinvest sana kwenye mpira ili kumuondoa mtu kwenye reli.
Kwa wachezaji wao wana faida za kiafya na kiuchumi angalau
Ndio maana nimekuhuliza huko Uganda kwa rafiki yako ambako hawatumii muda mwingi kujadili simba na yanga wana kipi cha ziada kuizidi Tz?
Mbona Mu7 anawaongoza kama ngombe na hakuna kitu wana mfanya?
Nimeitumia Udaga kama mfano nikiwa na maana ya kwamba hata ingetokea Tz kusiwepo simba na yanga hakuna chachote ambacho kinge badilika.
Kwa sababu jamii ya kiafrika imejaa wapumbavu wengi kuanzia viongozi mpaka raia.
Iwe Kwa kiasi,sio mpaka unakesha halafu kazini au darasani unaanza kusinzia au kupoteza focusKwa wenye IQ ndogo ndo wanapoteza focus..na nahc hata ww upo kweny hili kundi....mpira ni kujifurahisha tu as long as hakuna sheria inayovunjwa pale unaposhabikia mpira mimi sion haja ya kuanza kupangiana ni stareh gan nifanye na ipi nisifanye
Kwa hyo hoja ni ipi maana huewekii..tuache ushabik au tufanye kwa kiasi?Iwe Kwa kiasi,sio mpaka unakesha halafu kazini au darasani unaanza kusinzia au kupoteza focus