Kha zifutwe tena?Hizi team zifutiliwe mbali zinatuchelewesha. Kwanza hazina mpira wowote ni kelele tu.
Mabadiliko yanacheleweshwa na sisi wenyewe… tumebugia masiasa ya vyama badala ya masiasa ya utaifa na uchumiNimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!
Nawasilisha.
Naunga mkono hoja! Ni matakataka yasiyojua hata mpira unachezwaje zaidi ya makelele na kuteka akili za majinga mengi ya nchi hii.Hizi team zifutiliwe mbali zinatuchelewesha. Kwanza hazina mpira wowote ni kelele tu.
NO REFORMS, NO ELECTION. Siasa ni maisha, Maisha ya Mtu ni yana thamani sana kuliko Mpira. (TANZANIA MPYA BILA UTEKAJI INAWEZEKANA.)Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!
Nawasilisha.
HATUCHEZI NG'OO.Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!
Nawasilisha.
Muwafungie msiwafungie, Oktoba kiti tunachukua asubuhi na mapema. Mama mitano tenaNimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu).
Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo.
Serikali inawatumia Hawa kuchomeka propaganda za kutuhamisha kujadili mambo ya msingi na watu wamekua busy kujadili mpira,na umbea wa wasanii pamoja na tamthilia.
Naona kule IG Kuna kampeni inaendelea Toka kwa dada wa taifa ya "No reform no election" na ku unfollow wasanii..ngoja tuone kama itafanikiwa ukizingatia watanzania wanapenda sana umbea.
Hata kijani wanajua bila wasanii ni weupe kama pamba..
Ogopa sana watu wakichoka...Kuna dalili ziko wazi page nyingi za serikali wanafungia comments..spana zimezidi!
Nawasilisha.
Siasa ni maisha Yako, siasa ndio zinakupangia kila kitu ktk maisha Yako..usiitazane siasa Kwa angle ya majukwaani tu...Nadhani kabla ya kuwalaumu wasanii na hizo timu, nyie wnyw watu mnatakiwa mjilaumu Kwa kuwa na akili za kipumbavu mpaka kukubali kuondolewa kwenye reli.
Kama mngekuwa na akili timamu bc mngepuuzia hayo mambo ya timu na wasanii.
Mjue sio kila mtu anafatilia siasa hvy kila mtu aishi maisha yake mana binafsi siwezi kuahirisha kufanya mambo yangu au wasanii na hizo timu zishindwe kufanya mambo yao ety kisa kwenye siasa kuna jambo fulani.
Sawa endeleeni kufatilia hy siasa na kuwalaumu watu wengine kufanya mambo yaoSiasa ni maisha Yako, siasa ndio zinakupangia kila kitu ktk maisha Yako..usiitazane siasa Kwa angle ya majukwaani tu...