Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

maajabu ya wasomi kuleta kocha msaidizi kuja kuwa kocha mkuu wa Simba.
Hata Gamondi alishawahi kuwa kocha msaidizi A Ahly ya Libya,Wydad na timu ya taifa ya Burkina Faso lakini leo ni kocha mkuu wa Yanga.
Umeanza kupenda mpira mwakaa 2024 kwa kufuata mkumbo ndio maana hata jina la kocha wa Simba hulijui.
Umeona na wewe uchangie tu kwa sababu una nafasi ya kuchangia.
Ukocha ni taaluma lakini wewe usiye na utaalamu wala elimu ya ukocha eti upo na unadiriki kukosoa mbinu za kocha aliye na taaluma yake.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
 
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.

Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).

Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.

Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!

Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
Kwahiyo, hamkupata goli kwa kuhofia vurugu?
 
haaa na wewe umeandika eti😅

acha kumfaninisha Gamondi na takataka zingine.
 
Jifunze kuandika na kuelewa kilichoandikwa.Jibu hoja kwa hoja kama huwezi nenda Facebook kwa wajinga wenzako.
Kipimo chako cha uelewa wa mambo ni darasa la 4 ndio sababu huwezi kuchangia mada kama mtu mwenye akili timamu.
 
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha.Wapi kasema hawakupata goli kwa kuhofia vurugu?
Hujaelewa. Kwanza, nimeuliza swali, jibu lake lilikuwa ni ndiyo au hapana..!! Pili, toa tafsiri ya hapo kwenye njano..!!
1726475872113.png
 
Mwalimu wako alipata tabu sana kukufundisha.Wapi kasema hawakupata goli kwa kuhofia vurugu?
Ujuaji mwingi kichwani empty.
Embu rudia kusoma alichoandika mleta mada.
Kwa alichoandika mleta mada ni sawa na kusema Simba alihofia vurugu ndio maana hakushinda goli lolote.
 
Ulitaka upewe jibu la mwandishi ndio au hapana kwa assumption yake ya kujaribu ku assume kilichokuwa kikitokea kwenye vichwa vya wachezaji wa Simba?
Hakuna anayowezea kujua kilichokuwa kinaendelea kwenye vichwa vyao wala hawawezi kuwa affected kwa aina moja.
Assumption is just an assumption nothing more nothing less.
 
Hujaelewa. Kwanza, nimeuliza swali, jibu lake lilikuwa ni ndiyo au hapana..!! Pili, toa tafsiri ya hapo kwenye njano..!!
View attachment 3097318

Ujuaji mwingi kichwani empty.
Embu rudia kusoma alichoandika mleta mada.
Kwa alichoandika mleta mada ni sawa na kusema Simba alihofia vurugu ndio maana hakushinda goli lolote.
Na maneno "wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa" mmeyaona au mkaamua kufumba macho?

Hivi watu mna uelewa duni kiasi hicho? Haihitaji D 2 kujua hali ile inaleta hofu kubwa kwa wachezaji, una watu 40,000 wakionyesha Kila ishara ya kutoka kukudhulu wamekuzunguka ukiwa katika nchi ya mbali ya ugenini ambayo amani siyo nzuri, unadhani hofu ya kutoka salama mkishinda haiwezi kuingia vichwani mwao?
 
Ujuaji mwingi kichwani empty.
Embu rudia kusoma alichoandika mleta mada.
Kwa alichoandika mleta mada ni sawa na kusema Simba alihofia vurugu ndio maana hakushinda goli lolote.
Ni sawa na kusema?Tafsiri yako ya assumption ya mwandishi au ukweli?Hivi umesoma wapi?
 
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.

Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).

Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.

Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!

Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
Simba wanalalamika kama mke anavyomlalamikia mumewe!
 
Na maneno "wachezaji wakakomaa, hafugwi mtu" mmeyaona au mkaamua kufumba macho?
Binafsi maneno hayo nimeyaona,na yanazungumzia kufungwa, kwamba hamfungwi, yaani 5imba imekaza isifungwe. hayo maneno hayazungumzii 5imba kupata bao. Narudi swali, kufunga mliogopa vurugu?
 
Na maneno "wachezaji wakakomaa, hafugwi mtu" mmeyaona au mkaamua kufumba macho?

Hivi watu mna uelewa duni kiasi hicho? Haihitaji D 2 kujua hali ile inaleta hofu kubwa kwa wachezaji, una watu 40,000 wakionyesha Kila ishara ya kutoka kukudhulu wamekuzunguka ukiwa katika nchi ya mbali ya ugenini ambayo amani siyo nzuri, unadhani hofu ya kutoka salama mkishinda haiwezi kuingia vichwani mwao?
Acha kuruka ruka kama maharage mzee.
Mimi nimegusia upande wa "Simba kushindwa kufunga kwa kuhofia vurugu" nimekua specific.
Hizo habari za kukomaa kutokufungwa sijazigusia.
HAyo mengine ni visingizio visivyo na tija.
Trivial reasons.
 
Binafsi maneno hayo nimeyaona,na yanazungumzia kufungwa, kwamba hamfungwi, yaani 5imba imekaza isifungwe. hayo maneno hayazungumzii 5imba kupata bao. Narudi swali, kufunga mliogopa vurugu?
Umeshaanza kupata akili!Kama hayazungumzii Simba kupata bao wewe swali umelitoa kwenye maelezo gani?Shule, shule na shule.
 
Binafsi maneno hayo nimeyaona,na yanazungumzia kufungwa, kwamba hamfungwi, yaani 5imba imekaza isifungwe. hayo maneno hayazungumzii 5imba kupata bao. Narudi swali, kufunga mliogopa vurugu?
Kama umeelewa sasa hoja yako ni ipi hasa, mbona unajichanganya dogo?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom