Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

Hahahah, dharau zimezidi sana hasa mitandaoni ila hata vijiweni. Historia za Simba zinachukuliwa poa na watu ambao miaka nenda rudi wanapiga mark time tu ila historia zinawakataa.
Hao jamaa wamecheza final na waarabu pale kwao
Hata Simba mwaka 1970 walicheza final na waarabu
 
Simba kacheza fainali 93 ona mpaka leo wanavyoikataa hiyo historia. Simba ilimvua ubingwa Zamalek nyumbani kwake tena siku ambayo ilikuwa sherehe ya kupewa kombe lao la ligi, Simba ikaigeuza hiyo siku kuwa msiba. Tena umenikumbusha, nilisahau kuitaja hii mechi katika hoja yangu.

Walimpelekea Rais medali wakala na wali wa Ikulu, leo wanamwambia Rais walimpelekea medali ya losers haina thamani yoyote.
 
Nchi hii mibumbumbu ni mengi kwa kweli yani hili nalo ni la kujisifia bure kabisa..
 
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.

Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).

Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.

Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!

Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
kwnini makolo kila siku nyie?
 
Yanga ndio mhanga wa kufanyiwa vurugu ktk nchi hii! sina kumbukumbu ila nitakumbuka machache, tuanze kwa hapa tanzania, rejea vurugu za coastal union vs yanga mkoani tanga, simba vs yanga mkapa stadium mashabiki kurusha viti hizo si vurugu?,kimataifa ndo usiseme yani,al ahly vs yanga mjini cairo, club africain vs yanga, usma vs yanga nk nk even al hilal vs yanga. mleta mada kaanza kufuatilia soka jana! simba wote ni mbumbumbu
 
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.

Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).

Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.

Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!

Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
Mambosasa alinyang'anywa gloves au hirizi kwenye mbupu!?
 
Timu kubwa haifanyiwi fujo na timu ndogo hata siku moja.
 
Simba kacheza fainali 93 ona mpaka leo wanavyoikataa hiyo historia. Simba ilimvua ubingwa Zamalek nyumbani kwake tena siku ambayo ilikuwa sherehe ya kupewa kombe lao la ligi, Simba ikaigeuza hiyo siku kuwa msiba. Tena umenikumbusha, nilisahau kuitaja hii mechi katika hoja yangu.

Walimpelekea Rais medali wakala na wali wa Ikulu, leo wanamwambia Rais walimpelekea medali ya losers haina thamani yoyote.
1993 yalikuwa mashindano gani kat ya haya;-
1.Klabu bingwa Afrika
2. Kombe la washindi
3. Kombe la CAF
Sifa zingine mnajitishwa lakini si zenu
 
Huu mjadala tulishaumaliza kitambo, Sina mzuka wa kuurudia.
 
Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.

Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).

Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.

Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!

Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
Unaikumbuka mechi ya yanga na highlanders ya zimbabwe wewe kwenye CAFCL,wazimbabwe hào walikua hawajawahi kufungwa kwao kimataifa ,mechi ya kwanza pale uhuru ilikua 2-2 na marudiano mpaka dakika ya 87 tulikua tunaongoza 2-0 tukapata penati dakika ya 87 wakagomea na kutokea vurugu kubwa mechi ikavunjika ,tukaenda round nyingine tukakutana na mamelodi
 
Back
Top Bottom