Msome mleta mada post #32.Ni sawa na kusema?Tafsiri yako ya assumption ya mwandishi au ukweli?Hivi umesoma wapi?
Maana unaonekana muck know halafu ni dunderhead.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msome mleta mada post #32.Ni sawa na kusema?Tafsiri yako ya assumption ya mwandishi au ukweli?Hivi umesoma wapi?
Duh!Acha kuruka ruka kama maharage mzee.
Mimi nimegusia upande wa "Simba kushindwa kufunga kwa kuhofia vurugu" nimekua specific.
Hizo habari za kukomaa kutokufungwa sijazigusia.
HAyo mengine ni visingizio visivyo na tija.
Trivial reasons.
Umeelewa kinachojadiliwa?Au umedandia treni katikati.Nilichokuwa najadili ni mada iliyoletwa na mwandishi sio #32.Msome mleta mada post #32.
Maana unaonekana muck know halafu ni dunderhead.
Na sidhani kama kuna hatua zozote za adhabu watachukuliwa Al Ahly Tripoli. Fikiria, hata wakati wanaidai penalty, bench lao la ufundi karibu lote liliingia mwenye pitch.Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile.
Tuanzie miaka ya 70, Simba ilifanyiwa vurugu nchini Misri, kipa wake akanyang'anywa gloves ikatolewa katika mazingira ya kutatanisha sana. Kama sikosei hii ilikuwa hatua ya nusu fainali (nikosolewe kama nimekosea).
Kuna ile mechi ya Sudan miaka ya 90 Simba vs El Mereikh. Simba walifanyiwa vurugu mbaya sana uwanjani, wakapigwa mawe sana tu.
Tunakuja mechi ya jana, Simba vs Al Ahly Tripoli. Hivi unadhani Simba wangepata goli pale hali ingekuwaje? Unadhani hili halikuwa vichwani mwa wachezaji? Unafuu pekee kiusalama jana ulikuwa kukubali kufungwa ila wachezaji wakakomaa, hafungwi mtu hapa!
Naomba Simba ianze kupewa heshima inayostahili nchi hii, tafadhali.
Ninaelewa kinachojadiliwa toka mwanzo.Umeelewa kinachojadiliwa?Au umedandia treni katikati.Nilichokuwa najadili ni mada iliyoletwa na mwandishi sio #32.
Anza mwanzo ujue kinachojadiliwa.Ndio maana mnafeli na kulaumu walimu wenu.
Unajibu usichoulizwa.Muck ni kiingereza?
nipeni mchezee tano tano kila mechi.Tutakupa timu wewe😂😂
Haya baada ya kuchukua kombe la vurugu chukua na PONGEZI za kufanyiwa vurugu mara nyingi....Sasa wewe Mpira ni makombe tu. Kwa mfano mchezaji akiwa mfungaji Bora halafu timu yake isichukue ubingwa, ndiyo asipongezwe?
Kwani Mpira ni makombe tu?
Uhuni wa kiwango cha juu. Ni kweli Simba ilionyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Badala ya pongezi ili wengine wajifunze, watu wanaleta kebehi.Na sidhani kama kuna hatua zozote za adhabu watachukuliwa Al Ahly Tripoli. Fikiria, hata wakati wanaidai penalty, bench lao la ufundi karibu lote liliingia mwenye pitch.
Ni uhuni wa ajabu sana walifanya jana wale punguani. Uzuri ni kwamba ukiwa mkubwa kwenye mpira huwa hakuna kipya kwako, ndiyo maana timu ilibaki na utulivu.
Na hii ni kwa sababu Afrika nzima wanajua kwamba, kucheza na Simba SC ikiwa nyumbani kwake ni kazi ngumu kuliko kazi ngumu, hadi hutaka kumaliza mechi kwao.
Kama Al Ahly ya Misri anahofia hilo, hawa akina Al Ahly uchwara wa huko Tripoli watakuwaje? Wanajua tayari wametoka mashindanoni.
Ova
Kama akianzia darasa la pili,kuna ubaya?Usione aibu mkuu rudi shule.
Wajua, kuna wimbi la watu wa 'juzi juzi mjini' wanaojiita ni mashabiki wa soka, lakini katika ukweli halisi wao ni mashabiki wa timu.Uhuni wa kiwango cha juu. Ni kweli Simba ilionyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Badala ya pongezi ili wengine wajifunze, watu wanaleta kebehi.
SenzytaipuwahedinyiemakoloMjinga mwingine in the house.
Jiwe limenipata mie wa ‘juzi juzi mjini’…Wajua, kuna wimbi la watu wa 'juzi juzi mjini' wanaojiita ni mashabiki wa soka, lakini katika ukweli halisi wao ni mashabiki wa timu.
So hawaelewi kuwa, linapokuja suala la timu kufanyiwa uhuni, halitaki ushabiki, ila kushikamana kama kwenye misiba na majanga.
Kwa hawa wa juzi juzi ni lazima watakebehi tu, kwa kuwa ndiyo hulka yao.
Ova
Yanga haijawahi kufanyiwa vurugu kabla, wakati na baada ya mechi. Mechi dhidi ya USMA, baada ya mechi wachezaji wa Yanga walikuwa wanacheka na kushangilia medali zao za shaba. Ule moshi hau count kama ni vurugu maana mnapumua wote.Jiwe limenipata mie wa ‘juzi juzi mjini’…
Lakini b… kwanini kwenye mshikamano huo uwe kwenu tu mnapofanyiwa uhuni?
Kuna uhuni gani mliofanyiwa nyinyi jana kuzidi ule tuliofanyiwa sisi kwenye mchezo wa fainali shirikisho dhidi ya Usm Alger? Mbona hatukuuona huo mshikamano unaouhimiza zaidi ya nderemo na vifijo kutoka kwenu?
Mimi naona tu kila mmoja ashinde mechi zake na kwa mbinu zake, period.
Mlifanyiwa nini tukumbushe?Si mlishinda hiyo mechi na mkakosa ubingwa wa goli la ugenini.Jiwe limenipata mie wa ‘juzi juzi mjini’…
Lakini b… kwanini kwenye mshikamano huo uwe kwenu tu mnapofanyiwa uhuni?
Kuna uhuni gani mliofanyiwa nyinyi jana kuzidi ule tuliofanyiwa sisi kwenye mchezo wa fainali shirikisho dhidi ya Usm Alger? Mbona hatukuuona huo mshikamano unaouhimiza zaidi ya nderemo na vifijo kutoka kwenu?
Mimi naona tu kila mmoja ashinde mechi zake na kwa mbinu zake, period.
Hakuna Ubaya mkuuKama akianzia darasa la pili,kuna ubaya?
Tunakumbusha uhalisia nani hasa ameipigania nchi hii katika level ya vilabu vya soka siyo habari za kufikirika za kupigania uhuru wakati tulipewa uhuru kwa amani bila kumwaga damu.Kama kawaida ya akili ndogo, mnashindana hata wingi wa matatizo.
Sijajichanganya. Umesema 5imba ilikaza kwa kuamua wasifungwe. Swali langu, mlikaza msifungwe, lakini nyie kufunga mliogopa vurugu?Kama umeelewa sasa hoja yako ni ipi hasa, mbona unajichanganya dogo?
Hahahah, dharau zimezidi sana hasa mitandaoni ila hata vijiweni. Historia za Simba zinachukuliwa poa na watu ambao miaka nenda rudi wanapiga mark time tu ila historia zinawakataa.Kumbe mzee Rika la Kibao
Anyway endelea kutuelimisha vijana