Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

Ni sawa na kusema?Tafsiri yako ya assumption ya mwandishi au ukweli?Hivi umesoma wapi?
Msome mleta mada post #32.
Maana unaonekana muck know halafu ni dunderhead.
 
Acha kuruka ruka kama maharage mzee.
Mimi nimegusia upande wa "Simba kushindwa kufunga kwa kuhofia vurugu" nimekua specific.
Hizo habari za kukomaa kutokufungwa sijazigusia.
HAyo mengine ni visingizio visivyo na tija.
Trivial reasons.
Duh!
 
Reactions: Tui
Msome mleta mada post #32.
Maana unaonekana muck know halafu ni dunderhead.
Umeelewa kinachojadiliwa?Au umedandia treni katikati.Nilichokuwa najadili ni mada iliyoletwa na mwandishi sio #32.
Anza mwanzo ujue kinachojadiliwa.Ndio maana mnafeli na kulaumu walimu wenu.
Unajibu usichoulizwa.Muck ni kiingereza?
 
Na sidhani kama kuna hatua zozote za adhabu watachukuliwa Al Ahly Tripoli. Fikiria, hata wakati wanaidai penalty, bench lao la ufundi karibu lote liliingia mwenye pitch.

Ni uhuni wa ajabu sana walifanya jana wale punguani. Uzuri ni kwamba ukiwa mkubwa kwenye mpira huwa hakuna kipya kwako, ndiyo maana timu ilibaki na utulivu.

Na hii ni kwa sababu Afrika nzima wanajua kwamba, kucheza na Simba SC ikiwa nyumbani kwake ni kazi ngumu kuliko kazi ngumu, hadi hutaka kumaliza mechi kwao.

Kama Al Ahly ya Misri anahofia hilo, hawa akina Al Ahly uchwara wa huko Tripoli watakuwaje? Wanajua tayari wametoka mashindanoni.

Ova
 
Umeelewa kinachojadiliwa?Au umedandia treni katikati.Nilichokuwa najadili ni mada iliyoletwa na mwandishi sio #32.
Anza mwanzo ujue kinachojadiliwa.Ndio maana mnafeli na kulaumu walimu wenu.
Unajibu usichoulizwa.Muck ni kiingereza?
Ninaelewa kinachojadiliwa toka mwanzo.
Pia usijitape elimu maana hata robo hunifikii kijana.
Rudi kwenye mada husika na soma kwa makini alichoandika mleta mada kesha kihariri.
 
Sasa wewe Mpira ni makombe tu. Kwa mfano mchezaji akiwa mfungaji Bora halafu timu yake isichukue ubingwa, ndiyo asipongezwe?

Kwani Mpira ni makombe tu?
Haya baada ya kuchukua kombe la vurugu chukua na PONGEZI za kufanyiwa vurugu mara nyingi....
 
Uhuni wa kiwango cha juu. Ni kweli Simba ilionyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Badala ya pongezi ili wengine wajifunze, watu wanaleta kebehi.
 
Uhuni wa kiwango cha juu. Ni kweli Simba ilionyesha ukomavu wa hali ya juu sana. Badala ya pongezi ili wengine wajifunze, watu wanaleta kebehi.
Wajua, kuna wimbi la watu wa 'juzi juzi mjini' wanaojiita ni mashabiki wa soka, lakini katika ukweli halisi wao ni mashabiki wa timu.

So hawaelewi kuwa, linapokuja suala la timu kufanyiwa uhuni, halitaki ushabiki, ila kushikamana kama kwenye misiba na majanga.

Kwa hawa wa juzi juzi ni lazima watakebehi tu, kwa kuwa ndiyo hulka yao.

Ova
 
Jiwe limenipata mie wa ‘juzi juzi mjini’…

Lakini b… kwanini kwenye mshikamano huo uwe kwenu tu mnapofanyiwa uhuni?

Kuna uhuni gani mliofanyiwa nyinyi jana kuzidi ule tuliofanyiwa sisi kwenye mchezo wa fainali shirikisho dhidi ya Usm Alger? Mbona hatukuuona huo mshikamano unaouhimiza zaidi ya nderemo na vifijo kutoka kwenu?

Mimi naona tu kila mmoja ashinde mechi zake na kwa mbinu zake, period.
 
Yanga haijawahi kufanyiwa vurugu kabla, wakati na baada ya mechi. Mechi dhidi ya USMA, baada ya mechi wachezaji wa Yanga walikuwa wanacheka na kushangilia medali zao za shaba. Ule moshi hau count kama ni vurugu maana mnapumua wote.

Naamini figisu za huko hotelini na barabarani zilikuwa kubwa kuliko tulizoona kwenye TV.
 
Reactions: Tui
Mlifanyiwa nini tukumbushe?Si mlishinda hiyo mechi na mkakosa ubingwa wa goli la ugenini.
Mechi ya kwanza mlifungwa 2-1 na mkashinda goli 1 huko Algiers?
Mlifanyiwa vurugu au una maana kutaniana baada ya matokeo?
Na ni kweli kila moja hushinda mechi zake kwa juhudi zake tofauti ni kuwasaidia wapinzani kimbinu na kiuzushi na hilo wanajulikana mabingwa ni nani.Wakiongozwa na Ashura Cheupe na Rais anayewapigia wapinzani video call na kuvaa jezi zao bila kusahau kuwapokea Airport.
 
Kama kawaida ya akili ndogo, mnashindana hata wingi wa matatizo.
 
Kama kawaida ya akili ndogo, mnashindana hata wingi wa matatizo.
Tunakumbusha uhalisia nani hasa ameipigania nchi hii katika level ya vilabu vya soka siyo habari za kufikirika za kupigania uhuru wakati tulipewa uhuru kwa amani bila kumwaga damu.
 
Reactions: Tui
Kama umeelewa sasa hoja yako ni ipi hasa, mbona unajichanganya dogo?
Sijajichanganya. Umesema 5imba ilikaza kwa kuamua wasifungwe. Swali langu, mlikaza msifungwe, lakini nyie kufunga mliogopa vurugu?
 
Kumbe mzee Rika la Kibao
Anyway endelea kutuelimisha vijana
Hahahah, dharau zimezidi sana hasa mitandaoni ila hata vijiweni. Historia za Simba zinachukuliwa poa na watu ambao miaka nenda rudi wanapiga mark time tu ila historia zinawakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…