OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mikumiTakadini yuko wapi jamani?
unapataje nguvu ya kutoa ushauri kwa Simba queens wakati Yanga Princess hawapo ,hiyo nguvu ya kutoa ushauri ungewekeza kwa Yanga PrincessTimu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.
Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
Hater kazini.Timu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.
Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
Ukiachana na hayo, kwa maoni yako unafikiri Princess wana lipi la kujifunza kupitia Queens?Timu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.
Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.Ukiachana na hayo, kwa maoni yako unafikiri Princess wana lipi la kujifunza kupitia Queens?
kunywa diclopa kupunguza maumivuYanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.