Simba Queens Mabingwa CECAFA, kushiriki CAF Champions

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220827_20505023648.jpg

Namna gani hapa naona mashabiki wa Utopolo wanasikitika.
 
Timu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.

Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
 
unapataje nguvu ya kutoa ushauri kwa Simba queens wakati Yanga Princess hawapo ,hiyo nguvu ya kutoa ushauri ungewekeza kwa Yanga Princess
 
Timu kutoka Uganda She corporate wamejitahidi kwakua wameshiriki Kwa mara ya kwanza na wamecheza fainali Tena wamecheza na Simba ambayo ilisheheni wachezaji wengi wa kimataifa.

Kwangu Mimi She corporate bila ya mchezaji wa kigeni wao ni washindi.
Kwa upande wa Simba wamesajili wachezaji wengi wa kimataifa ila hii fainali imeonyesha kocha anatakiwa afanye kitu chaziada ki ufundi kwakua anakwenda kwenye mashindano makubwa.
Hater kazini.
 
Ukiachana na hayo, kwa maoni yako unafikiri Princess wana lipi la kujifunza kupitia Queens?
 
Simba Ili eneo wanatakiwa waongeze nguvu ya kuwekeza kule kiumeni watapata vidonda vya tumbo maana Yanga tunaendelea kuwa buruza tunavyotaka.
Sisi Yanga kwasasa nguvu zetu tumewekeza kiumeni baadae tutakuja uko kikeni kuchukua vikombe vyetu.
 
Ukiachana na hayo, kwa maoni yako unafikiri Princess wana lipi la kujifunza kupitia Queens?
Yanga haija amua kuwekeza kwenye soka la wanawake kwakua kupanga ni kuchagua.
Yanga itakapo amua kuwekeza kwenye soka la wanawake watabeba vikombe bila shida yoyote.
 
Back
Top Bottom