Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

Kwa simba hii, atafungwa na red arrows. Na kombe la nbc premier league watalisikia tu
 
Msimbebeshe lawama uyo jamaa wakati amefanya jambo lakheri katika maisha yake
Jambo la kheri hatupingi, ila linapokuja kua ni sababu ya kufanya vibaya kazini hatuwezi kulifumbia macho
 
Huyu capten coastal huo mpira aliopigwa kichwani lazima amejamba
 
Bwalya ni mtu sana akicheza namba 8... Kule 10 ni kumtwisha gunia la misumari.....
 
Huyu refa hajiamini kwenye maamuzi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…