Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Kaguswa kidogo lakini anavyolalamika as if kaminywa na trector
 
Mnaoangalia, Simba anaupiga mwingi kama inavyotakiwa? Sitaki kuuliza habari za Mugalu maana hizo nazijua hâta nisipoangalia.
Unapigwa wa wastani mkuu, mugalu ame improve nowadays [emoji23]
 
Ila gadiel Kawa mtamu siku hizi.
 
Unapigwa wa wastani mkuu, mugalu ame improve nowadays [emoji23]
Mkude anapiga backpass nyingi sana...! Kocha halifanyie kazi hili suala ! Ni mchezaji mzuri naweza kusema katika wachezaji waliotulia uwanjani psycho ya mkude iko juu lakini backpass NOO ZIMEZIDI KIWANGO CHA UVUMILIVU..!!
 
Daaah kibu ana mavitu, umeona alivyo uchop ule mpira?
 
Sometimes inabidi mkuu, hawa mlandege kuna muda wanapaki basi ni ngumu kupenetrate, hivyo back pass zinatumika kuwavuta
 
[emoji23][emoji23] inonga bhana!
 
Zenj ni wanachama wa Caf mkuu lkn sio FIFA kwahiyo nao wanahusika kwenye calender.
 
Daaah kibu ana mavitu, umeona alivyo uchop ule mpira?
Aaah huyo jamaa sijui ntakuja kumuamini lini tu, me mpaka leo inatamani Simba Sc isajili straiker mkali asiyecheka na nafasi nyingi ambazo Simba hutengeneza.

Mastraiker wote tulio nao ni viazi tu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…