Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
hata mi nimempitisha jamaa yuko vizuri,mtu mzuri anaonekana tu hata kwa dk chacheYuko vizuri.
Mimi nishampitisha.
Na ndio amefunika katika wachezaji wa kwenye majaribio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mi nimempitisha jamaa yuko vizuri,mtu mzuri anaonekana tu hata kwa dk chacheYuko vizuri.
Mimi nishampitisha.
Na ndio amefunika katika wachezaji wa kwenye majaribio
Madogo wamefturu na sheikhNdio mmepangwa nao mmetoa droo
Mbona yanga ni kinara wa ligi na amekuwa na trend hiyo kwa miaka minne na hajawahi pata ubingwa?KMKM moto wao mkubwa kuliko Mlandege, KMKM ndiye kinara wa ligi ya Zanzibar.
Ila wale waliokuwa wanachezesha mechi ya Yanga itakuwa walikuwa na lengo tofauti nikisoma ule uzi naona washabiki wengi walitaka Yanga wafungwe, wapewe kadi nyekundu au refa atoe penati.Refa na linesmen wote kama wana lengo moja humu ndani...!
Tusoende mbali wakati mifano halisi ipoKoloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligi
Mkikutana na Wananchi itakuwaje?Hii Simba,hii ,sijui itakuwaje...tutakapo kutana na Asec na BARKANE🧐
Ni tofauti kwa Yanga, KMKM kachukua ubingwa wa ligi ya Zanzibar msimu uliopita na hata sasa kwenye msimamo ndiye anayeongoza katika msimamo wa ligi ya ZanzibarMbona yanga ni kinara wa ligi na amekuwa na trend hiyo kwa miaka minne na hajawahi pata ubingwa?
Wananchi gani?Mkikutana na Wananchi itakuwaje?
Kwa hiyo kumbe yanga ndio wamebahatisha leo kutoa sare na mabingwa wa zanzibar?Ni tofauti kwa Yanga, KMKM kachukua ubingwa wa ligi ya Zanzibar msimu uliopita na hata sasa kwenye msimamo ndiye anayeongoza katika msimamo wa ligi ya Zanzibar
Mkichaniwa mikeka mnakuwa na hasira sanaSimba hii haifiki fainali.
Mashabiki wa simba hawataki hivyo ndo wamefanya jukwaa lionekane la kipumbavuNi mapema sana kuamua mkuu.
Ni kama ile scenario uliyoileta ya Mayele vs Kagere.
Let number decide.
Punguza ngenga.
Kikosi kipana kinachozidi kupanuliwa....... kama kawaida wimbo wenu ".....GSM kawapa hela marefa........GSM kawapa hela Mlandege........".
Kwani simba hajachana mikeka leo?Mkichaniwa mikeka mnakuwa na hasira sana
Lakini si ndo yeye mwenye makombe mengi ama?[emoji3].Mbona yanga ni kinara wa ligi na amekuwa na trend hiyo kwa miaka minne na hajawahi pata ubingwa?
Hatutaki nembo ya GSM kwa sababu ya mambo yake hayo ya hovyoKikosi kipana kinachozidi kupanuliwa....... kama kawaida wimbo wenu ".....GSM kawapa hela marefa........GSM kawapa hela Mlandege........".
Kwanini umesema kuwa wamebahatishaKwa hiyo kumbe yanga ndio wamebahatisha leo kutoa sare na mabingwa wa zanzibar?
Kumbe shangwe waliopata mlandenge kwa kudroo na simba ndio shangwe ambayo yanga aliipata kwa kudroo na mabingwa wa zenji?
Wananchi gani?
Kumbukumbu yako ya mwisho nani aliyekuwa anaomba mpira uishe na kupoteza muda kishamba?