Simba SC 0-0 Mlandege FC | Mapinduzi cup| Zanzibar

Refa na linesmen wote kama wana lengo moja humu ndani...!
Ila wale waliokuwa wanachezesha mechi ya Yanga itakuwa walikuwa na lengo tofauti nikisoma ule uzi naona washabiki wengi walitaka Yanga wafungwe, wapewe kadi nyekundu au refa atoe penati.
 
Koloo mlandege anashika namba 8 wakati kmkm namba 1 anaongoza ligi
Tusoende mbali wakati mifano halisi ipo

Nyinyi mko nafasi ya ngapi huku bara?

Mwaka jana msimu kama huu mlikuwa mnaongoza ligi hivi hivi, ubingwa mlichukua?
 
Kikosi kipana kinachozidi kupanuliwa....... kama kawaida wimbo wenu ".....GSM kawapa hela marefa........GSM kawapa hela Mlandege........".
 
Mbona yanga ni kinara wa ligi na amekuwa na trend hiyo kwa miaka minne na hajawahi pata ubingwa?
Ni tofauti kwa Yanga, KMKM kachukua ubingwa wa ligi ya Zanzibar msimu uliopita na hata sasa kwenye msimamo ndiye anayeongoza katika msimamo wa ligi ya Zanzibar
 
Kwa hiyo kumbe yanga ndio wamebahatisha leo kutoa sare na mabingwa wa zanzibar?

Kumbe shangwe waliopata mlandenge kwa kudroo na simba ndio shangwe ambayo yanga aliipata kwa kudroo na mabingwa wa zenji?
 
Kikosi kipana kinachozidi kupanuliwa....... kama kawaida wimbo wenu ".....GSM kawapa hela marefa........GSM kawapa hela Mlandege........".

We Neng'eneka tu....! Huu Mwaka hata Hili La Mapinduzi Huchukui......!
Kanoute na Sakho Wanausongo nalo...!
 
Kikosi kipana kinachozidi kupanuliwa....... kama kawaida wimbo wenu ".....GSM kawapa hela marefa........GSM kawapa hela Mlandege........".
Hatutaki nembo ya GSM kwa sababu ya mambo yake hayo ya hovyo
 
Kwa hiyo kumbe yanga ndio wamebahatisha leo kutoa sare na mabingwa wa zanzibar?

Kumbe shangwe waliopata mlandenge kwa kudroo na simba ndio shangwe ambayo yanga aliipata kwa kudroo na mabingwa wa zenji?
Kwanini umesema kuwa wamebahatisha
 
Back
Top Bottom