Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Ni kigezo kipi unachotumia kusema Simba ni mbovu? Timu ipo makundi shirikisho CAF, timu inashika nafasi ya pili kwenye ligi kuu kwa tofauti ya alama mbili inakuwaje mbovu? Sawa timu ina dokta Aucho je wachezaji wote anaocheza nao ni madokta? Simba pia kuna mabunduki ya mk14 wakati yanga hawana hizo bunduki. Simba kuna mawakili wasomi wakati yanga hawana mawakili wasomi. Simba inawazee wa soft touch maleft tiuch yanga hawana
 
Muda upi huo mkuu? Simba wana shoot on target ngapi mechi nzima hata uwe na wasiwasi??
Sasa wewe usie na shoot on target hâta moja kwanini usiwe na wasiwasi?

Zitakuwa zinakutosha kweli?
 
Mimi sijasema kama ni ushamba GSM kuahidi kibunda, au kwamba sio kitu cha kawaida katika mpira, mimi nimesema kwamba hizo hela ni kama tu anawadorisha yanga kwakua ni ngumu sana kumfunga simba kwa aina ya wachezaji alionao
 
Goli alilokosa Mayele leo kipindi cha kwanza in a one against one situation na Aishi manula, ningekuwa kocha huyu dogo ningemzibua.
 
Ila kwa namna Yanga walivyojipanga na mashabiki kujihakikishia, leo ilibidi washinde. Ukizingatia wanaiita Simba ni mbovu
Tatizo wameamini sana katika Propaganda, zile mechi mbili za mwanzo za Simba, eti kwao zilitosha kuwaaminisha kuwa Simba ya misimu huu ni mbovu.
 
Hongereni simba kwa kupata sare,Haya matokeo kwenu ni favorite Sana na mna haki ya kutamba kama mnavyofanya.
Hakuna Simba anayetamba kwa kupata draw, sisi tuna wacheka tu kwa dharau maana mlizidi kila ukiongea na shabiki wa utopolo hawana kingine zaidi ya tar 11,mara oooh mayele, mara oooh aucho Kiko wapi [emoji23]
 
Tatizo wameamini sana katika Propaganda, zile mechi mbili za mwanzo za Simba, eti kwao zilitosha kuwaaminisha kuwa Simba ya misimu huu ni mbovu.
Mkuu, kwa namna walivyokuwa wanajigamba na walivyokuwa wanaizungumzia shit simba nilijua leo wanashinda. Jana nimetoka Mbeya kuja Arusha utadhani basi zima la Arusha Expresse walikuwa mashabiki wa Yanga. Mpaka nikajua leo tunapigwa, ikabidi niwe mpole [emoji16]
 
Na hili tangazo tunali ignore otherwise hicho kilogo huko chini kitolewe

 
Mimi sijasema kama ni ushamba GSM kuahidi kibunda, au kwamba sio kitu cha kawaida katika mpira, mimi nimesema kwamba hizo hela ni kama tu anawadorisha yanga kwakua ni ngumu sana kumfunga simba kwa aina ya wachezaji alionao
Kwani kwenye ngao ya jamii alifungwa nani?

Saa nyingine ni kama kichwani hazikutoshi.
 
Simba mwenyewe anajijua underdog ndo maana amefurahia draw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…