Kwa kawaida yanga wana uzuzu wa kuwapa wachezaji ufalme ambao hawastahili, rejea msimu uliopita namna ambavyo carinhos aliimbwa, fiston Abdul razack, Michael sarpong [emoji23] etc .. sasa wakina aucho kidogo wameonesha matumaini lakini kiuhalisia bado wakawaida sana, na ndicho kilichokua kikiwapa jeuri yanga na kufikia hatua ya kuwaita Simba underdog [emoji23][emoji23] .. kila wakisikia "mayele" vichwa vinavimba, sasa wamekuja kukutana na uhalisia ulivyo, kilichobaki ni kujifariji tu kwamba Simba alikua underdog kwenye mchezo wakati wanajua fika kuwa wameponea kwenye tundu la sindano hususani kipindi cha pili. [emoji23][emoji23]