Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumkaba Mayele asifunge ni jambo kubwa si umeona wakati anatoka Inonga alivyokuwa anawatambia mashabiki wa Yanga [emoji16][emoji16][emoji16]Mayele vipi leo?
Yani hako kapicha kama Mayele vile leo miguu ilivyokua baja hahahhaah.Baada ya Barcelona, Liverpool,ManCity, inafuata yanga kolo mkubwa wewe
View attachment 2040749
Mayele kamaliza siku alipo mtia mtu toboIla mayele sijui leo ataimalizaje siku
Yule kenge katutusi sana zeru zeru yule km vipi pasukaJiheshimu kmmmk msidharau watu kuliko utu wao zeruzeru unaweza mzaa hata wewe.
Hakuna wa kujadiliwa katika pande zote mbili kwasababu hakuna upande ulio pata point tatu. Au nyie mliingia na akili ya kufungwa na Yanga tu? Maana mnashangilia kukabwa kwa Mayele wakati huo huo Kagere ambaye aliyekuwa anatambishwa na Mayele hakupata goli. Ni ajabu sana Simba inayojisifu kwa mafanikio kuwa na mentality ya underdog mbele ya Yanga. Na kutoka sare na Yanga mnaona kama mmewakomesha Yanga.Haya nyie kenge blue, pendekezeni mnata tuanze kumjadili mayele au aucho?
Yanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.For the first time naangalia game ya Derby ya kariakoo
Just a good game for both sides
Goli gani lililokataliwa mkuu??Mechi ya leo Bernard Morrison alitakiwa apewe red card na lile goli lilokataliwa ni halali.
Yanga leo walikosa match fitness huwezi kukaa wiki mbili bila kucheza, halafu utegemee kuperform, TFF kwenye ratiba zao wana chemka sana, hawaja jifunza mwaka jana kwa Simber Kaizer Chief.
Simba mnahesabu hii draw ni ushindi kwenu 😂Duu kweli uto leo wamebanwa
Huyu na Scars huwa nawaweka kundi la machokoraa.Ushabiki na kutaniana bila matusi inawezekana mkuu
Ujinga mtupu yani unafurahia tobo hahaa kweli mmeishiwa. Kiko wapiii sasa kujisifiaaaaaa Mayele Mayele leo nakwambia kawa MapeleMayele kamaliza siku alipo mtia mtu tobo
Jamaa wanachekesha sana HawaHakuna wa kujadiliwa katika pande zote mbili kwasababu hakuna upande ulio pata point tatu. Au nyie mliingia na akili ya kufungwa na Yanga tu? Maana mnashangilia kukabwa kwa Mayele wakati huo huo Kagere ambaye aliyekuwa anatambishwa na Mayele hakupata goli. Ni ajabu sana Simba inayojisifu kwa mafanikio kuwa na mentality ya underdog mbele ya Yanga. Na kutoka sare na yanga mnaona kama mmewakomesha yanga.
Kwahiyo hapo ndo umeweka ushabiki pembeni?Kuweka ushabiki pembeni yanga wamecheza mpira mzuri na wamemiliki mpira muda mrefu zaid.
Hongera kwao, Hongera kwa simba pia mmejitahidi kuziwia magoli.
[emoji116][emoji116]
Jinsi simba wanavyotoka uwanjani
View attachment 2040745
Pole nyie ambao hamjulikani kimataifa wala kwa wananchi wenzenu. Poleni sanaSimba mnahesabu hii draw ni ushindi kwenu 😂
Kipa wao alikuwa anapoteza muda anaombea mpira uisheUto mmebebwa,, mngepigwa ,,mna bahati
Derby ya leo ilinogeshwa sana kwa propaganda zenu kwasababu mna MayeleHahahaha leo draw nyau anashangilia kumbe moyoni mlikuwa mnajua tuna waua nyingi
Simba kaingia na kacheza kama under dogHicho kikosi cha kuinyanyasa Simba Sc kama mlivyokuwa mnatamba kiko wapi? Shida yenu mnaaminishwa ujinga[emoji28].
Halafu aliyeponea chupuchupu ni UTOPOLO, simba hakuwa na presha kabisa na hii mechi.
Sio furaha mliaminishwa sana na zeruzeru nyinyi bora kuliko simbaila sasa mnaanza kujua kua simba ni dude kubwaaaa sana ukitaka kupambana ujipange hasaKwa furaha hiyo kabla hata sijapitia posts zako zingine, nina uhakika lazima utakuwa Kolo tu wewe, bisha?!
Muda upi huo mkuu? Simba wana shoot on target ngapi mechi nzima hata uwe na wasiwasi??Duuhhh...kuna kipindi nilikuwa nasema na mpira uishe tu,ile second half ilikuwa ngumu kwa Yanga yangu [emoji15][emoji15][emoji15]
Mmecheza mno nje ya uwanja, nyie hamna timu zaidi uchawiHahahaha vichekesho toka vodacom hivi