Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Haya nyie kenge blue, pendekezeni mnata tuanze kumjadili mayele au aucho?
Hakuna wa kujadiliwa katika pande zote mbili kwasababu hakuna upande ulio pata point tatu. Au nyie mliingia na akili ya kufungwa na Yanga tu? Maana mnashangilia kukabwa kwa Mayele wakati huo huo Kagere ambaye aliyekuwa anatambishwa na Mayele hakupata goli. Ni ajabu sana Simba inayojisifu kwa mafanikio kuwa na mentality ya underdog mbele ya Yanga. Na kutoka sare na Yanga mnaona kama mmewakomesha Yanga.
 
For the first time naangalia game ya Derby ya kariakoo

Just a good game for both sides
Yanga inapaswa kutafuta kocha mwingine au Naby abadilike, kuanzia dakika ya kwanza Yanga walikuwa na total control ya game ila hawakuwa wanaleta hatari za kutosha Langoni mwa Simba. Yanga walikuwa wanapiga pasi nyingi ambazo hata hazina maana yoyote.
Simba waliingia na wamecheza kama under dog, wao pasi hawaziwezi na wala hawana wachezaji, ila walijaribu kumtumia Morrison kucheza mipira mirefu, na hata Yanga walikuwa wanashindwa kumzibiti vizuri. Kwenye hii mechi, Simba na ubovu wao angalau wamefanikiwa kupata point.
 
Mechi ya leo Bernard Morrison alitakiwa apewe red card na lile goli lilokataliwa ni halali.

Yanga leo walikosa match fitness huwezi kukaa wiki mbili bila kucheza, halafu utegemee kuperform, TFF kwenye ratiba zao wana chemka sana, hawaja jifunza mwaka jana kwa Simber Kaizer Chief.
Goli gani lililokataliwa mkuu??
 
Mayele kamaliza siku alipo mtia mtu tobo
Ujinga mtupu yani unafurahia tobo hahaa kweli mmeishiwa. Kiko wapiii sasa kujisifiaaaaaa Mayele Mayele leo nakwambia kawa Mapele
 
Hakuna wa kujadiliwa katika pande zote mbili kwasababu hakuna upande ulio pata point tatu. Au nyie mliingia na akili ya kufungwa na Yanga tu? Maana mnashangilia kukabwa kwa Mayele wakati huo huo Kagere ambaye aliyekuwa anatambishwa na Mayele hakupata goli. Ni ajabu sana Simba inayojisifu kwa mafanikio kuwa na mentality ya underdog mbele ya Yanga. Na kutoka sare na yanga mnaona kama mmewakomesha yanga.
Jamaa wanachekesha sana Hawa
 
Hahahaha leo draw nyau anashangilia kumbe moyoni mlikuwa mnajua tuna waua nyingi
Derby ya leo ilinogeshwa sana kwa propaganda zenu kwasababu mna Mayele

Haya mpira umeisha na kiwango chake ndio hicho, Je bado mtaendelea kumtumia kupigia promo kwenye hiyo derby ambayo nyinyi ndo wenyeji?
 
Hicho kikosi cha kuinyanyasa Simba Sc kama mlivyokuwa mnatamba kiko wapi? Shida yenu mnaaminishwa ujinga[emoji28].

Halafu aliyeponea chupuchupu ni UTOPOLO, simba hakuwa na presha kabisa na hii mechi.
Simba kaingia na kacheza kama under dog
 
Kwa furaha hiyo kabla hata sijapitia posts zako zingine, nina uhakika lazima utakuwa Kolo tu wewe, bisha?!
Sio furaha mliaminishwa sana na zeruzeru nyinyi bora kuliko simbaila sasa mnaanza kujua kua simba ni dude kubwaaaa sana ukitaka kupambana ujipange hasa
 
Duuhhh...kuna kipindi nilikuwa nasema na mpira uishe tu,ile second half ilikuwa ngumu kwa Yanga yangu [emoji15][emoji15][emoji15]
Muda upi huo mkuu? Simba wana shoot on target ngapi mechi nzima hata uwe na wasiwasi??
 
Back
Top Bottom