Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Kipindi cha pili ndo hichoo....! Njoooni tushuhudie migoli Mnyama anamtandika Mtu hapa..!
 
Afu amna kitu kinaudhi kama kukutana na sampuli hii ya mashabiki

Hivi hao kina chama, ni mara ngapi humu wakiwa wanacheza tumekua tukiwaponda kuwa wameonesha kiwango kibovu?

Juzi tumefungwa na yanga pale goli moja, bado mandezi yameendwlea kusema tumefungwa kwasababu ya kukosa hao wachezaji kwenye hiyo mechi

Wamesahau kua mechi kama hiyo tulicheza na tukafungwa tukiwa na hao hao wachezaji

Tumefungwa na kaizer chiefs goli nne kwao, tukiwa na chama na mikson, unaweza kukumbuka kipindi hicho lawama zilienda kwa nani?

Hizi habari za kusema fulani na fulani ndio tegemeo la timu linashusha morale kwa mwachezaji wengine waonekane kwamba ni unneccesary, na hao wanao onekana ni bora wanalewa sifa kwasababu wanacheza na jukwaa

Kibu kafika karibu na goal lakini kapaisha, sasa hapo utasemaje kuwa sababu ni mikson au chama?
 
Hakuna kocha.hii timu inahitaji kocha mzuri huyu maumivu kila siku
 
Mo hakuwatuma wachezaji wakaruhusu goli tatu zirudishwe kizembe, huo ni mkosi wa wachezaji wenyewe walijitakia.
Kwanini mwamedi atukimbie baada ya kuwauza wale? Atuachie timu yetu
 
Kibu denis hata ball control ni shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…