Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Simba SC 1-0 Namungo FC | Ligi Kuu | Benjamini Mkapa

Kipindi cha pili ndo hichoo....! Njoooni tushuhudie migoli Mnyama anamtandika Mtu hapa..!
 
Kwa mambo yalivyo sasa wana asilimia kibwa ya kuchukua. Simba tusijidanganye kuwa tutaamka, misimu iliyopita tulikua na chama mikison, msimu huu hamna wa kubadili timu..
Hitimana nae hajui anafanya nini. Mchezaji hapafom hata kama ninkipimdi cha kwanza mtoe...
Afu amna kitu kinaudhi kama kukutana na sampuli hii ya mashabiki

Hivi hao kina chama, ni mara ngapi humu wakiwa wanacheza tumekua tukiwaponda kuwa wameonesha kiwango kibovu?

Juzi tumefungwa na yanga pale goli moja, bado mandezi yameendwlea kusema tumefungwa kwasababu ya kukosa hao wachezaji kwenye hiyo mechi

Wamesahau kua mechi kama hiyo tulicheza na tukafungwa tukiwa na hao hao wachezaji

Tumefungwa na kaizer chiefs goli nne kwao, tukiwa na chama na mikson, unaweza kukumbuka kipindi hicho lawama zilienda kwa nani?

Hizi habari za kusema fulani na fulani ndio tegemeo la timu linashusha morale kwa mwachezaji wengine waonekane kwamba ni unneccesary, na hao wanao onekana ni bora wanalewa sifa kwasababu wanacheza na jukwaa

Kibu kafika karibu na goal lakini kapaisha, sasa hapo utasemaje kuwa sababu ni mikson au chama?
 
NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3?

Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa nje kwa Muda Mrefu sana. Kwa sasa Simba Ina Majeruhi wengi ambao Watakosekana Kwenye Mtanange huu, Akiwepo Kiungo wa kimataifa Tadeo Lwanga, Sadio, Sokho, Mzamiru Yasini, Chris Mugallu.

Tuwe hapa Kuanzia Sasa Hadi kipute hiki kitakavyo Malizika.

====

Mpira ni mapumziko na milango ni migumu kwa pande zote, Simba 0-0 Namungo
Hakuna kocha.hii timu inahitaji kocha mzuri huyu maumivu kila siku
 
Xx
IMG_20211103_195439_044.JPG
 

Attachments

  • IMG_20211103_195439_044.JPG
    IMG_20211103_195439_044.JPG
    11.7 KB · Views: 1
Kibu denis hata ball control ni shida
 
Back
Top Bottom