Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambieni kabisa kakosekana nani.NBC Premier League kuendelea leo. Mabingwa watetezi Simba SC wakitoka kupata sare mchezo uliopita, leo saa 1:00 usiku kuwaalika Namungo FC ambao nao pia walitoka sare mchezo wao uliopita. Je, leo nani kuondoka na alama 3?
Kwa upande wa Simba, Mkude Anarejea katika nafasi ya kiungo baada ya kuwa nje kwa Muda Mrefu sana. Kwa sasa Simba Ina Majeruhi wengi ambao Watakosekana Kwenye Mtanange huu, Akiwepo Kiungo wa kimataifa Tadeo Lwanga, Sadio, Sokho, Mzamiru Yasini, Chris Mugallu.
Tuwe hapa Kuanzia Sasa Hadi kipute hiki kitakavyo Malizika.
Wachezaji wa kigeni wanastahili kuanza kwa sasa ni watatu tu
Inonga
Bwalya
Morrison
Tulieni hivyohivyo, Huyu Mhilu ndio yupo vizuri zaidiYaani Sisi Simba Jamani.
Kocha Una Duncan Nyoni, Unamuanzisha Mhilu. Tufungwe tuseme tunahujumiwa….
Oyaaa mkuu hii leo ni kiputeJana tumeangalia soccer safi kabisa leo ni zamu ya kuangalia kabumbu au kipute 🤣🤣
Basi ngoja tusubiri muda tukishuhudie hicho kiputeOyaaa mkuu hii leo ni kipute
Kocha anasemaje mkuuNimemsikia kocha akihojiwa na Azam.
Yaani kocha ni mlalamikaji na Muoga.
Kwa spirit alionesha kocha wetu, basi simba tuna kazi kubwa sana
Kocha anasemaje mkuu
Wamekaa preseason siku za kutosha afu Leo anaongea utumbo ganAnalalamika Mechi zimekuwa karibu karibu sanaa anakosa muda wa kufanyia kazi matatizo anayo yaona, so anategemea hiki kipindi cha Mapumziko kwenda kujirekebisha [emoji28], Simba inapitia wakati mgumu anasema, kwa hiyi lolote linaweza kutokea.
Anamalizia kwa kusema hii hali ni kwa binadamu yeyote na Hata club kubwa duniani hupitia.
Huyu ndio kocha wetu