Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Ila lile ni clear goal, kibendera kawauma Rs Berkane,wakati huohuo kawapa goal Simba la offside.....Kagere aliingilia mchezo wakati Sako anapiga.....ila hongereni Kwa kushinda, hata kama ni kimagumashi
Kasome tena urefa
 
Angalia wakati Sako anapiga Kagere alikuwa wapi?
Kuna beki wa berka e alikuwa anamchezeaha onside kagere. Ile mzeya alikuwa anaenda cheza na nyavu.
Yule lineman aliona tulishawanyima penalty hawa ngoja nao simba tuwabinye
 
Huyu kocha ibenge ni ana bahati tu mabosi wake wana subra sio kama management ya yanga

Mechi zote alizocheza kwa mkapa zote katipika

Mkataba wake ukiisha hapo BERKANE halafu ikatokea mechi ya simba na hiyo timu anayofundisha sidhani kama atakubali kuleta timu
 
Nilikuwa naangalia mechi ya Zanaco na Waarabu, nikachungulia kidogo kwa MAKOLO kiukweli Refa ndiye mchezaji bora wa MAKOLO, maana kawanyima wapinzani goli la halali kabisa.

Yani Makolo wamekaa kimchongo mchongo tu[emoji1787][emoji16]
Itisheni press kesho
 
Utopolo Kuna marefa wengi mliofeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…