Simba Sc 1-0 RS Berkane | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

Nilikuwa naangalia mechi ya Zanaco na Waarabu, nikachungulia kidogo kwa MAKOLO kiukweli Refa ndiye mchezaji bora wa MAKOLO, maana kawanyima wapinzani goli la halali kabisa.

Yani Makolo wamekaa kimchongo mchongo tu[emoji1787][emoji16]
Ndio hivyo tena wanaongoza kundi sasa sijui inakuwaje?
 
Simba kashinda.
Ilikuwa penalt dhidi ya Simba kama ingalikuwepo VAR na goli la Berkane ni off side.
Kiujumla Simba alistahili saana kushinda ni marekebisho madogo madogo ambayo lazima yarekebishwe ili awe salama.

Nadhani msimu Ujao Simba itafute kocha mwenye kujua soka la Africa na ambae amefundisha timu za Africa na kucheza michuano ya kimataifa.

Msimbazi kuna kikoso kizuri except pia hawana STRIKER ILE YA KIBISHI, KAGERE NI TRASH.

Huyu kocha anakosa Psychological tactic Tags za michezo ya Africa.

Ni suala la muda atakuja kuwaliza wanasimba.

I am doubting hata kama anasikiliza huyu kocha . Ni TAKATAKA
 
Nilikuwa naangalia mechi ya Zanaco na Waarabu, nikachungulia kidogo kwa MAKOLO kiukweli Refa ndiye mchezaji bora wa MAKOLO, maana kawanyima wapinzani goli la halali kabisa.

Yani Makolo wamekaa kimchongo mchongo tu[emoji1787][emoji16]
mmepata sababu ya kutowasindikiza,?
 
Tuisila kisinda kipenz cha wanayanga ametolewa
Lakini jamaa aliyabashiri haya yote, alikuwa akiwaambia waarabu kua simba ya kule morroco ni tofauti na hii kwa mkapa wakambishia

Sasa wamekuwa mashuhuda upako ukawashukia wakaanza kunena kwa lugha refa kawachezeshea na kadi
 
Huyu kocha anakosa Psychological tactic Tags za michezo ya Africa.
Ni suala la muda atakuja kuwaliza wanasimba.
Kama akituliza wanasimba, si ndio furaha yenu utopolo? Tangu lini utopolo wakatoa ushauri mzuri kwa timu nzuri nzuri kama Simba? Kila mtu atoe ushauri kwa timu za level yake
 
Ukiandika kitu uwe unajaribu kuchuja pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…