kidole33
Senior Member
- Nov 11, 2013
- 120
- 77
Refa amehongwa
Dakika 5 za nyongeza nyingi sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika 5 za nyongeza nyingi sana...
Uto hamuaminiMweee
Hahahaaah eti amehongwaRefa amehongwa
Na imefanya maajabuBado moja
Acha tu mkuu, mambo ya uwanjani kuna siku mchezaji gemu linamkataa.Kagere anaanza huu mchezo tunashinda bila shida
Huyu Mugallu maku sana
Bongo kuna watu wachache sana wanaojua mpira.. Hata kwenye timu zetu pendwa unaona yanatokea tukishafungwa hata mechi mbili tu zinaanza kelele, yani tunataka ushindi milele jambo ambalo haliwezekani labda ucheze mpira peke yako chumbaniKama kuna shabiki yeyote wa Simba anaetamani isitokee Simba ikafungwa basi afai kuwa shabiki wa Simba.
Zinafungwa timu bora Duniani zenye kilakitu ije kuwa Simba!!
Shukrani mkuuMechi hii ni droo narudia tena
Vipi nani kabahatisha leo mkuu.Nawashangaa mnaoina Prison timu, yani kubahatisha kuifunga Simba kule Sumbawanga mara moja ndio mnaiona "inajua" kama utopolo, hao leo hawatoki kwa Mkapa.
Majonzi ni ya wengi mkuu
Kama sio ile kampemi yetu ya kutotaka magoli ya penalti, hawa maafande tungewalamba leo...Uto hamuamini
Naiona offside kwenye hili goli.Hiyo ndio zawadi ya kuchelewesha mpira,kujiangusha kisenge. Mmejitakia wenyewe mnalala nini mlijiangusha mkaona raaaha
Huu u-senge umenikera
Huyu Mugallu sitaki nimuone tena msimu huu, leo kazingua sana
Hutaki umuone wewe ndio mwajiri wake mkuu? Au wewe ni MkuunduGU yake na Mwekezaji?Huu u-senge umenikera
Huyu Mugallu sitaki nimuone tena msimu huu, leo kazingua sana
Naiona offside kwenye hili goli.