Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Simba SC 1-1 Tanzania Prisons | Mkapa Stadium | VPL

Kagere anaanza huu mchezo tunashinda bila shida

Huyu Mugallu maku sana
Acha tu mkuu, mambo ya uwanjani kuna siku mchezaji gemu linamkataa.
Hata Medii kuna siku gemu linamkataga anazurula tu uwanjani mpaka wanamtoa.
 
Kama kuna shabiki yeyote wa Simba anaetamani isitokee Simba ikafungwa basi afai kuwa shabiki wa Simba.
Zinafungwa timu bora Duniani zenye kilakitu ije kuwa Simba!!
Bongo kuna watu wachache sana wanaojua mpira.. Hata kwenye timu zetu pendwa unaona yanatokea tukishafungwa hata mechi mbili tu zinaanza kelele, yani tunataka ushindi milele jambo ambalo haliwezekani labda ucheze mpira peke yako chumbani
 
Nawashangaa mnaoina Prison timu, yani kubahatisha kuifunga Simba kule Sumbawanga mara moja ndio mnaiona "inajua" kama utopolo, hao leo hawatoki kwa Mkapa.
Vipi nani kabahatisha leo mkuu.
 
Nusura nipate kamtaji..dah
Screenshot_20210310-205948.jpg
 
Back
Top Bottom