ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Tuliaa... Bado dk 5..Unafaiidika nini wewe churaa
Hata mkipita hapa, nadhani mnaelewa maana ya hiki kikosi chenu cha sasa
Unashangaa kipi!!?Kha !
Nipe matokeo mkuuSafiii Bwalya
Simba Nguvu MojaYaani Simba raha sana, hata mashabiki wetu uwanjani wamekaa kistaarabu na wanazingatia masharti ya covid 19 kikamilifu
Klabu ya kisomi sana hii