Kitu adimu ni tiktaka ya mayele mpaka Sasa zipo 4 tu dunianiVitu Adimu Kutoka kwa Osman Sakho
We kolo kwa mpira huo waku butua butua ndio gari limewaka??? Acha tuendelee kunywa mirinda matupu tutawaachia[emoji23][emoji23] mkuu gari ndo limewaka hivyo, mliaminishwa na manara kwamba Simba mbovu [emoji23][emoji23]
Kumbuka wachezaji wake wa 3 wako kwenye timu ya taifaAzam msimu huu wachezaji hawana aisee. Top four sijui kama ataiambulia labda walitumie dirisha hili kuimarisha kikosi chao
Ana ubinafsi sana huyo jamaa, sijui kwanini tu.Kibu punguza uchoyooooi
umeeleweka vizuri kabisa,dogo ansongea angekua bubu tungejua.Ingawa nimechapia hapo kwenye Bibi=bubu Ila umenielewa ..Ila anaongea siyo?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
acha ushambaBryson wa Azam ndio siku hizi Paul Katema kwann?
Si wangekupa wewe mwenye akili upige hiyo penati, au nawewe hauna akili kama sisi???Kakosaaa.... Left Footer namna gani....
za kuambiwa changanya na zako, manara hanaga jema yupo kimaslahi tu hapo utopoloni.We kolo kwa mpira huo waku butua butua ndio gari limewaka??? Acha tuendelee kunywa mirinda matupu tutawaachia
Kitu adimu ni tiktaka ya mayele mpaka Sasa zipo 4 tu duniani
Ya ibra kadabra
Ya rooney
Ya dinyo
Na mayele
Afanyayo sakho hajafika hata kwa dogo nkane wa biashara
Kuwa ethical maana yake Nini?! Sasa kumwambia mtu mzima ashabikie Redde ndiyo ethics hizo?! Ndiyo maana nimesema bila Shaka aliyemzaa pia anashabikia Redde...inawezekana ulimuina mzee anashabikia hiyo ReddeSasa aliyemzaa ameingiaje tena hapa? Jifunzeni kuwa ethical mnapo changamana na watu.
Basi watakomaa watoke sareAzam ni timu inferior sana. Hawaoneshi ukubwa wowote
Utopolo kapiga wote hao wanao ruka ruka hapo tena kawapiga kwa mpira mwingi mnoUtopolo bwana [emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa koloTulia upate burudani ya soka safi kutoka hispania, acha maneno maneno
MkuuNadhani Kibu ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Yaani ana heka heka nyingi lakini accuracy yake ni zero . Hana focus hata kidogo . Wachezaji kama hawa Simba isitegemee kupata matokeo na mavitu kama haya kwenye CAF MAKUNDI.
Kuna huyu Kagere nae , amekuwa Uharo, naanza kumuelewa Gomezi. Nadhani hizi takataka zikae benchi au zitolewe kwa mkopo.
Sakho anawalisha sana lakini kagere na kibu wamekuwa uharo
Watatafutiwa tuta jingineViporo FC mnacheza na tawi lenu mmewekewa tuta mmekosa ila mechi yenu hii sababu lile fungu lilotengwa kwa ajili ya Viporo ndio wakati wake kutumika.
Basi asifunge, tuambiwe ana assist ngapiKafunga ngapi mpaka sasa
Sawa mwana utopolo.Sawa kolo
Kibu D, kuna walevi wanamringanisha na mayele akili mbovu mnoNadhani Kibu ni mchezaji wa hovyo kuwahi kutokea. Yaani ana heka heka nyingi lakini accuracy yake ni zero . Hana focus hata kidogo . Wachezaji kama hawa Simba isitegemee kupata matokeo na mavitu kama haya kwenye CAF MAKUNDI.
Kuna huyu Kagere nae , amekuwa Uharo, naanza kumuelewa Gomezi. Nadhani hizi takataka zikae benchi au zitolewe kwa mkopo.
Sakho anawalisha sana lakini kagere na kibu wamekuwa uharo