MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #41
Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ( mwana Yanga SC ) na Katibu Mkuu Dk. Hassan Abbas Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ( mwana Yanga SC ) kwa pamoja Pigo Kali la Mwenyezi Mungu halitowapita hivi hivi.Viongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N-Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye Tamasha la Simba Day. #SimbaDay2021 #NguvuMoja View attachment 1942268
Hizi ndio akili za wanasimba wenzako, timu inashindwa kupanga mambo yake wanaanza kumshutumu mtu asiyehusika.huyu kaandika manini?
Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanjahuyu kaandika manini?
Makolokocho hayo,huyu kaandika manini?
WanaCCM huwa hawajari hilo wao bola malengo yao binafsi yanafikiwa inatosha.Mwigulu Nchemba Simba ni timu kubwa inawakilisha vema nchi kimataifa,kwenye mapato ya Simba kuna sehemu ya kodi ya serikali.Simba ikikosa mapato na serikali inakosa kodi.
Herufi kubwa humaanisha kuropoka piaKuandika thread nzima kwa herufi kubwa ni dalili ya kuchanganyikiwa
Ushabiki wa mpira wa kibongo ni kama uchizi flani hivi! Sasa unapoihujumu timu nyingine isiyo kuhusu isijaze uwanja wewe inakusaidia nini?Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
Mkuu siku ya mwananchi mwaka jana N- card hajaisumbua ikasumbia siku ya Simba day ,mwaka huu haijasumbua siku ya mwananchi inasumbua simba day tu ,mechi za watani haijasumbua piaUshabiki wa mpira wa kibongo ni kama uchizi flani hivi! Sasa unapoihujumu timu nyingine isiyo kuhusu isijaze uwanja wewe inakusaidia nini?
Kwa ujinga huu kuna uwezekano watu kubambikiana kesi au hata kutoana roho kisa ushabiki wa mpira hasa Usimba na Uyanga!
Uingereza ni vichaa wa soka lakini hawana hujuma za kijingajinga kama hizi eti hata Waziri wa nchi anashiriki katika ujinga huu(kama ni kweli lakini)
Nmekuelew mleta uzi mkali kweri kweri [emoji1]Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
Mnatafuta sababu za kutojaza uwanja? Babra anaupiga mwingi sana,hongera kwake,majinga ndiyo yaliwayoMkuu mimi binafsi nimekuekewa sana,na nimechukizwa sana na izi hujuma kwa Simba.naamini Simba washaliona hili na next time hawatafanya makosa tena.
Lakini kwanini wewe unapeleka mashambulizi moja kwa moja ya lawama kwa viongozi hasa Barbara,kwani wewe kipindi hiki cha siku moja kabla ya Simba day wewe ulikua unashauri viongozi wa Simba wangefanyaje?
Moja ya watanzania wajinga ni wewe mshabiki kazi yake kushangilia au kuzomea basi hayo ya mapato na matumizi ni ya wanachama ndio maana wewe usiye mwanachama haujui taarifa ya mapato na matumizi ya simba walio udhuria mkutano mkuu wanajua ,waache washabiki wa simba washangilie wanachokipenda,wewe kwa sababu team yako ya hovyo hovyo haishangiliki usione wivu.Mnatafuta sababu za kutojaza uwanja? Babra anaupiga mwingi sana,hongera kwake,majinga ndiyo yaliwayo
Hayajawahi hata kupewa au kuonyesha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Simba SC.Yenyewe yanashangilia tu,Yanapigwa hayaelewi mambumbumbu
Mataptap ni pombe piaTulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe