Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

Viongozi wa Simba na wasimamizi wa mfumo wa tiketi za kielektroniki N-Card, wamekubaliana kutoa kadi nyingine tofauti kwa ajili ya watu kuingia uwanjani kwenye Tamasha la Simba Day. #SimbaDay2021 #NguvuMoja View attachment 1942268
Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba ( mwana Yanga SC ) na Katibu Mkuu Dk. Hassan Abbas Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ( mwana Yanga SC ) kwa pamoja Pigo Kali la Mwenyezi Mungu halitowapita hivi hivi.
 
Uhuni wao N-card ni wa muda tu,Simba ni taifa kubwa na ndo mwenye nchi.acha inyeshe iyo j'pili panapovuja tutapaona na patashughulikiwa next time.
 
Tiketi kama hii mweI be4 ilitakiwa iwe inaanza kuuzwa
 
Hahaaaaa naona mmeguswa sana kwa hilo kishabiki ila mngekuwa wapenda haki ningekuwa na nyinyi katika kulalamika. Wakati mtani wetu ananyanyaswa kipindi cha MWENDAZAKE mlichekelea sana bila kuangalia tasinia ya mpira inaharibika ila leo mmeguswa kidogo tu kelele. Kila zama na kitabu chake.

Believe me hata akibadilishwa waziri huyo atakayekuja bado ni Yanga na atatenda haki bila kupendelea kama huyu aliyepo.
 
Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
Ushabiki wa mpira wa kibongo ni kama uchizi flani hivi! Sasa unapoihujumu timu nyingine isiyo kuhusu isijaze uwanja wewe inakusaidia nini?

Kwa ujinga huu kuna uwezekano watu kubambikiana kesi au hata kutoana roho kisa ushabiki wa mpira hasa Usimba na Uyanga!

Uingereza ni vichaa wa soka lakini hawana hujuma za kijingajinga kama hizi eti hata Waziri wa nchi anashiriki katika ujinga huu(kama ni kweli lakini)
 
Wakuu sijaelewa hapa, naona mr. Tozo anapewa madongo mazito mazito.

Vipi anahudikaje na hili sakata wakuu??
 
Ushabiki wa mpira wa kibongo ni kama uchizi flani hivi! Sasa unapoihujumu timu nyingine isiyo kuhusu isijaze uwanja wewe inakusaidia nini?

Kwa ujinga huu kuna uwezekano watu kubambikiana kesi au hata kutoana roho kisa ushabiki wa mpira hasa Usimba na Uyanga!

Uingereza ni vichaa wa soka lakini hawana hujuma za kijingajinga kama hizi eti hata Waziri wa nchi anashiriki katika ujinga huu(kama ni kweli lakini)
Mkuu siku ya mwananchi mwaka jana N- card hajaisumbua ikasumbia siku ya Simba day ,mwaka huu haijasumbua siku ya mwananchi inasumbua simba day tu ,mechi za watani haijasumbua pia
 
Mkuu kuna point ingawa mleta mada katumia ukali sana. Kuna hujuma zinafanyika watu kukosa tickets ,na inafanywa makusudi na hiyo kampuni N card chini ya mabwana flani ili ionekane Simba haijajaza uwanja
Nmekuelew mleta uzi mkali kweri kweri [emoji1]
 
Hamna washabiki wapumbavu kama washabiki wa Simba hapa duniani. Yaani Yanga wakifanyiwa fitna na TFF mnashangilia kwa kupayuka kama mabata mzinga,lakini ninyi wenyewe mnvurunda kwenye maandalizi yenu Leo mnapayuka kama mabata mzinga kwa kupeleka tuhuma kwa watu wengine bila ya kuwa na uhakika! Laana ya Mzee Rage inaishi![emoji16]
 
Mkuu mimi binafsi nimekuekewa sana,na nimechukizwa sana na izi hujuma kwa Simba.naamini Simba washaliona hili na next time hawatafanya makosa tena.

Lakini kwanini wewe unapeleka mashambulizi moja kwa moja ya lawama kwa viongozi hasa Barbara,kwani wewe kipindi hiki cha siku moja kabla ya Simba day wewe ulikua unashauri viongozi wa Simba wangefanyaje?
Mnatafuta sababu za kutojaza uwanja? Babra anaupiga mwingi sana,hongera kwake,majinga ndiyo yaliwayo
Hayajawahi hata kupewa au kuonyesha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Simba SC.Yenyewe yanashangilia tu,Yanapigwa hayaelewi mambumbumbu
 
Moja ya watanzania wajinga ni wewe mshabiki kazi yake kushangilia au kuzomea basi hayo ya mapato na matumizi ni ya wanachama ndio maana wewe usiye mwanachama haujui taarifa ya mapato na matumizi ya simba walio udhuria mkutano mkuu wanajua ,waache washabiki wa simba washangilie wanachokipenda,wewe kwa sababu team yako ya hovyo hovyo haishangiliki usione wivu.
 
Tulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
 
Tulieni dawa iendelee kuingia vizuri na ukitaka uone wiki ijayo inavyokuwa ngumu Yanga kule Port Houcourt apindue meza na Simba wasijaze uwanja na wapigwe na Tp mazembe
Mataptap ni pombe pia

Tatizo yanaharibu akili
 
Back
Top Bottom