GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.
Kuna Mambo ya ndani kuhusu hizo Jezi yalifanyika na Maadui wa Simba SC baada ya Mdhamini wa zamani Kushirikiana na hao Maadui zetu na naamini hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi za Simba SC nae atapita mule mule huku akitumika na hao Maadui zetu kuweza Kuiumuza na Kuihujumu Simba SC.
Na kwa Upuuzi huu wa Awali kabisa uliofanyika kwa kumpa Udhamini wa Jezi mwana Yanga SC aitwae Sandaland (ila mwana Simba SC wa Usoni tu) na hawa Wachezaji wabovu wanaenda Kusajiliwa Simba SC GENTAMYCINE natangaza mapema hapa kuwa Yanga SC anabeba tena Makombe yote kwa Msimu ujao.
Simba SC kuna matatizo makubwa!!!