Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.

Kuna Mambo ya ndani kuhusu hizo Jezi yalifanyika na Maadui wa Simba SC baada ya Mdhamini wa zamani Kushirikiana na hao Maadui zetu na naamini hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi za Simba SC nae atapita mule mule huku akitumika na hao Maadui zetu kuweza Kuiumuza na Kuihujumu Simba SC.

Na kwa Upuuzi huu wa Awali kabisa uliofanyika kwa kumpa Udhamini wa Jezi mwana Yanga SC aitwae Sandaland (ila mwana Simba SC wa Usoni tu) na hawa Wachezaji wabovu wanaenda Kusajiliwa Simba SC GENTAMYCINE natangaza mapema hapa kuwa Yanga SC anabeba tena Makombe yote kwa Msimu ujao.

Simba SC kuna matatizo makubwa!!!
Ndio maana nasema hili jamaa halinaga akili. Tangu lini vunjabei akawa mdhamini wa jezi? Yani kupewa tender ndio anakuwa mdhamini? Alafu kuna watu wanamskilizaga kabisa.
 
WE JAMAA KICHWA CHEUPE KABISA.

WASWAHILI WANASEMA.
MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI.

WENZIO wanapiga pesa we unaangalia Simba yanga.

Shenza kabisa.
jingalao.
 
Madaktari wa Milembe Mental Health wanakuhitaji Mgonjwa Mteja wao Wodini. Unaenda lini ili wakuandalie mapema Sindano za Dozi yako?
 
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.

Kuna Mambo ya ndani kuhusu hizo Jezi yalifanyika na Maadui wa Simba SC baada ya Mdhamini wa zamani Kushirikiana na hao Maadui zetu na naamini hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi za Simba SC nae atapita mule mule huku akitumika na hao Maadui zetu kuweza Kuiumuza na Kuihujumu Simba SC.

Na kwa Upuuzi huu wa Awali kabisa uliofanyika kwa kumpa Udhamini wa Jezi mwana Yanga SC aitwae Sandaland (ila mwana Simba SC wa Usoni tu) na hawa Wachezaji wabovu wanaenda Kusajiliwa Simba SC GENTAMYCINE natangaza mapema hapa kuwa Yanga SC anabeba tena Makombe yote kwa Msimu ujao.

Simba SC kuna matatizo makubwa!!!
Nipe connection hapo yaan mshabiki wa yanga akifanya biashara ya kuuza jezi za simba anasajili vp wachezaji wabovu😀
 
Madaktari wa Milembe Mental Health wanakuhitaji Mgonjwa Mteja wao Wodini. Unaenda lini ili wakuandalie mapema Sindano za Dozi yako?
Mirembe sio milembe we jinga vunjabei eti sponsor? We ni kati ya wanaodidimiza taifa. Ujinga ni adui wa maendeleo.
 
Ogopa sana mwanaume anayependa kuwaambia wanaume wenzake maneno kama yako. Unalipenda sana hili Neno "basha". Biblia inasema "kimjazacho mtu moyoni mwake ndicho kimtokacho" kwa hiyo ni dhahiri huo ndio mchezo wako kwa maana usingeweza mchezo wako usingelitamka hilo Neno. Hongera kwa kupumuliwa na kufumuliwa Marinda Popoma maana nyie Wakurya toka mwanzo kuimba taarabu basi kila kitu kimeharibika.
mkurya mpumbafu hayupo! nna uhakika huyo sio mkurya
 
Sisi Watu wa Mpira na Watu wa kuyajua mengi ya ndani na yaliyojificha tunajua kuwa Mdhamini wa Jezi Vunja Bei hakuwa mwana Simba SC na hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi Sandaland nas pia siyo mwana Simba SC (japo analazimisha aaminike hivyo) ila nae ni mwana Yanga SC mzuri tu.

Kuna Mambo ya ndani kuhusu hizo Jezi yalifanyika na Maadui wa Simba SC baada ya Mdhamini wa zamani Kushirikiana na hao Maadui zetu na naamini hata huyu Mdhamini mpya wa Jezi za Simba SC nae atapita mule mule huku akitumika na hao Maadui zetu kuweza Kuiumuza na Kuihujumu Simba SC.

Na kwa Upuuzi huu wa Awali kabisa uliofanyika kwa kumpa Udhamini wa Jezi mwana Yanga SC aitwae Sandaland (ila mwana Simba SC wa Usoni tu) na hawa Wachezaji wabovu wanaenda Kusajiliwa Simba SC GENTAMYCINE natangaza mapema hapa kuwa Yanga SC anabeba tena Makombe yote kwa Msimu ujao.

Simba SC kuna matatizo makubwa!!!
Ten percent imefanya kazi yake..
 
Back
Top Bottom