Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Simba SC bado mnaendelea na 'Upuuz'i wenu ule ule. Sandaland na Vunja Bei ni wana Yanga SC tupu

Mzee huelewi kabisa mambo ya biashara na mpira. Kwenye hizi biashara kinachoangaliaa ni pesa na fursa tuu.

Nani asiyejua kama gharib said mohamed gsm ni simba damu lkn anafanya biashara na yanga. Tarimba abbas ni ysnga lia lia lkn aliikuwadia sportpesa kuvaliwa kifuani kwa simba.

Kama huyo sandaland amefika bei nzuri na ameushawishi uongozi kupiga kazi ya viwango anapewa tenda.

Huyo fred hakujipanga vizuri ndio sababu iliyomwangusha. Hatukujali usimba wala uyanga wake.
Una ushaidi gani kuwa GSM ni Simba?

Picha piga kadi yake ya uanachama kama ushahidi.
 
Nimekuja kugundua kuwa mo ni mwana yanga kajivika usimba kibiashara
,
20230617_204353.jpg
 
Miaka ya 90's sikumbuki vizuri ila ule mwaka Yanga ya kina Lunyamila walichukuwa kombe la CECAFA Yanga iliishiwa pesa kabla hata ya nusu fainali kuna kiongozi wa Simba nimemsahau aliwakopesha Yanga dollar 20,000 ili ziwasaidie na mwisho wa siku Yanga ndio ilibeba ubingwa.

Tundu Lisu alipopigwa risasi pesa za kikosi ndege kumuwahisha Nairobi alitowa mbunge wa Ccm Zanzibar marehemu Turky.
View attachment 2660093
Kama nakumbuka vzr na mimi ilikua 1993 ,kule nchini Uganda, na alikua Shafii Bora nadhani ndio alitoa hiyo pesa
 
Ndio maana nasema hili jamaa halinaga akili. Tangu lini vunjabei akawa mdhamini wa jezi? Yani kupewa tender ndio anakuwa mdhamini? Alafu kuna watu wanamskilizaga kabisa.
Nakazia
 
Back
Top Bottom